Siku umeugua ghafla mke/mume akiambiwa akae na simu yako utakuwa na amani kweli?

Kama miaka ngapi Barbie
Inategemea na mtu.Binafsi mwakani nitakua 30 but I stopped flirting at the age of 26.

Kuanzia 16yrs( nilivyomaliza form 4 ) mpaka around 24 yrs, nimeflirt sanaaaa mpaka saiv naona ni utoto.

Ukifika 27 yrs, Usipende ku entertain ujinga ujinga au mazoea zoea ya hovyo aka sex chats na kila mtu hata kama si type yako.
 
Wazee usiombe nilienda hospital tumbo linauma mara gaflaa ikatakiwa nifanyiwe emergency operation Niko na intestinal obstruction secondary to sigmoid volvolus ebanaee nikapelekwa theater nikaacha simu na wallet huko theater Hata nlikuwa sijali kinachotokea nawaza tu michepuo yangu ikinitafuta mungu saidia nilikaa theater masaa manne nakuja kuzinduka baada ya masaa 16 hakuna mchepuko ulionitafuta.
 
Inategemea na mtu.Binafsi mwakani nitakua 30 but I stopped flirting at the age of 26.

Kuanzia 16yrs( nilivyomaliza form 4 ) mpaka around 24 yrs, nimeflirt sanaaaa mpaka saiv naona ni utoto.

Ukifika 27 yrs, Usipende ku entertain ujinga ujinga au mazoea zoea ya hovyo aka sex chats na kila mtu hata kama si type yako.
Una misimamo ya wale jamaa wa Taliban mkuu.
 
Wazee usiombe nilienda hospital tumbo linauma mara gaflaa ikatakiwa nifanyiwe emergency operation Niko na intestinal obstruction secondary to sigmoid volvolus ebanaee nikapelekwa theater nikaacha simu na wallet huko theater Hata nlikuwa sijali kinachotokea nawaza tu michepuo yangu ikinitafuta mungu saidia nikikaa theater masala manne nakuja kuzinduka baada ya masaa 16 hakuna mchepuko ulionitafuta.
Hahaha mkuu umeua, hiyo scenario nadhani sio poa, unaweza kupigwa chini ukiwa hospitali hakyanani.
 
Inategemea na mtu.Binafsi mwakani nitakua 30 but I stopped flirting at the age of 26.

Kuanzia 16yrs( nilivyomaliza form 4 ) mpaka around 24 yrs, nimeflirt sanaaaa mpaka saiv naona ni utoto.

Ukifika 27 yrs, Usipende ku entertain ujinga ujinga au mazoea zoea ya hovyo aka sex chats na kila mtu hata kama si type yako.
Safiii 💋
 
Mbinu ni nyingi sana. Chukueni mkazitumie pia kufukunyua.

Kuna hii moja kwa sisi wazee wa internet devices hasa MI-Fi ambazo hutumia line.

Hiz ndio wengine hutumia kuchat maana ili uweze ku access inbix ni lazima uji connect kwenye wife kisha u login kwenye panel ya vida au tigo then unaanza kutuma kusoma na kupokea text...uki logoff imeisha hiyoo huna haja ya kufuta texts..huko uko disconnect wi-fi hakuna jambo..
 
Inaonekana wewe ni mtundu sana😃😃😃
 
Sijaelewa mkuu, fafanua kwa layman aelewe.
Samsung (sijui na devices nyingine?) wana secure folder, hilo ni mahususi kuficha uchafu wote isipokuwa sms, ila chats zingine kama wasap nk, picha zote zinamezwa huko.
 
May be.But naona mtu anapaswa ku have some class.Flirt with your man/ woman , siyo kila mtu HAPANA.

Sasa unakuta mtu ana flirt hovyohovyo na kila aina ya mtu kwenye chats..Hapo ni rahisi kuji engage in multiple sex relationships which kwangu is disgusting.
Upewe maua yako💐🌹🌷🌸🌼🏵🥀🥀
 
Huna mpango wa kando Suzie? Hapa tunawaongelea wenye mipango yao ya pembeni na wale wanapenda kuflirt.
 
Wakuu, heri ya sikukuu ya kuchinja.

Kuna kitu nikawaza, baada ya kwenda hospitali X kumuona mgonjwa wangu wa karibu.(wakati fulani)

Yule mwamba wakati anakuwa admitted hali haikuwa nzuri kiasi kwamba vitu vyake kuanzia wallet na simu ilibidi mke akae navyo lakini ukweli ni kwamba aliweweseka sana kumuachia my wife wake simu, sijui alikuwa na mawasiliano ya namna gani kipindi hicho.

Ila nilichobaini ni kuwa kulikuwa na mawasiliano ambayo ama kwa hakika yasingemfurahisha mkewe. Sasa hapa najiwazia baada ya kuchoshwa na kazi za leo, hivi hzi flirting unazofanya kwenye texts, huko WhatsApp etc siku umeugua ghafla mke/mume akiambiwa akae na simu yako utakuwa na amani kweli?

BTW, serial cheaters wana secure folder...wao wala hawana shida.
duh huo ni mtihani mkubwa
 
Malizia kuchinja mnyama kwanza alafu tuendelee na mada kuna watu wataelewa kuchinja watu
 
Back
Top Bottom