Siku umeugua ghafla mke/mume akiambiwa akae na simu yako utakuwa na amani kweli?

HAPANA Aise..Yaani Leo nilale na huyu kesho na yule..HELL NO , that is so disgusting.

Sex is so powerful not only physically but mentally and spiritually pia.Tusiendekeze na kila aina ya mtu.
Sijaelewa, kwamba leo huyu kesho yule huwezi naelewa. Ila leo mahusiano haya kesho mahusiano yake unaweza?(confused)
 
Sijaelewa mkuu, fafanua kwa layman aelewe.
Samsung (sijui na devices nyingine?) wana secure folder, hilo ni mahususi kuficha uchafu wote isipokuwa sms, ila chats zingine kama wasap nk, picha zote zinamezwa huko.
Hii ni namna ya kutumia line/namba ya simu ambayo haipo kwenye simu yako lakin ipo hewani kwenye device nyingine.

Device hii ni wi-fi device mfano hizi za tigo au voda kwa ajil ya matumiz ya internet.

Hizi device zinakua zina line na unaweza kuitumia hiyo line ilioko kwenye hicho kifaa kutuma,kusoma na kupokea sms licha ya kwamba haipo kwenye simu yako na s lazima iwe karibu naa wewe.

Cha kufanya
1. Unawasha wi-fi device yako hata kama haina bando ya internet
2. Unaji connect nayo kwa kuwasha Wi-fi kwenye simu yako
3. Unafungua browser ya simu yako na ku browse ip adresa like 192.168.0.0
4. Itakufungulia page ya voda au tigo depending na line ya simu iliopo kwenye wifi device
5. Utaingiza username na password kisha itakuruhusu ku access inbox

Hapo unafanya fujo zako zote za kutuma na kupokea text.

Uki disconnect na mchezo umeishia hapo.Mtu mwingine hata ashike simu yako hatakaa aone kitu maana texts hazikai kwenye simu
 
Duh, nyie watu ni hatari sana..
 
Back
Top Bottom