Siku umeugua ghafla mke/mume akiambiwa akae na simu yako utakuwa na amani kweli?

Siku umeugua ghafla mke/mume akiambiwa akae na simu yako utakuwa na amani kweli?

Amepewa aishike au aipekenyue?
Apekenyue tu atakayokutana nayo sitaki maswali, maana simu ni yangu sio yetu🙈🙈🙈
 
Daah we chizi sana, muone😂
Sasa utaniulizaje maswali kwa vilivyo kwenye simu yangu jamani!! Ukiona kuna vitu huvielewi vunga maana simu sio yako hivyo huwezi kuvielewa.
 
Akae nayo ya kazi gani badala ya kunihudumia.
 
Futa texts mama, nenda goggle clear historia zote, siku mwamba akiingia huko utaachwa ukiwa hispitali😁
Huko Google ni sms za namna ipi zinatunzwa? Ni za WhatsApp pekee au na text za kawaida,? Unazikuta sehemu ipi?
 
Wakuu, heri ya sikukuu ya kuchinja.

Kuna kitu nikawaza, baada ya kwenda hospitali X kumuona mgonjwa wangu wa karibu.(wakati fulani)

Yule mwamba wakati anakuwa admitted hali haikuwa nzuri kiasi kwamba vitu vyake kuanzia wallet na simu ilibidi mke akae navyo lakini ukweli ni kwamba aliweweseka sana kumuachia my wife wake simu, sijui alikuwa na mawasiliano ya namna gani kipindi hicho.

Ila nilichobaini ni kuwa kulikuwa na mawasiliano ambayo ama kwa hakika yasingemfurahisha mkewe. Sasa hapa najiwazia baada ya kuchoshwa na kazi za leo, hivi hzi flirting unazofanya kwenye texts, huko WhatsApp etc siku umeugua ghafla mke/mume akiambiwa akae na simu yako utakuwa na amani kweli?

BTW, serial cheaters wana secure folder...wao wala hawana shida.
Hahaha
 
Back
Top Bottom