Siku umeugua ghafla mke/mume akiambiwa akae na simu yako utakuwa na amani kweli?

Siku umeugua ghafla mke/mume akiambiwa akae na simu yako utakuwa na amani kweli?

Inategemea na mtu.Binafsi mwakani nitakua 30 but I stopped flirting at the age of 26.

Kuanzia 16yrs( nilivyomaliza form 4 ) mpaka around 24 yrs, nimeflirt sanaaaa mpaka saiv naona ni utoto.

Ukifika 27 yrs, Usipende ku entertain ujinga ujinga au mazoea zoea ya hovyo aka sex chats na kila mtu hata kama si type yako.
Nakupenda mdogo wangu[emoji3590] Mungu akubariki, ni kweli kuna muda ukifika unaona kama ni kujichosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ndugu yangu alikua anaumwa nikaenda kumtembelea, nikashika simu yake nikafuta chat zote za WhatsApp, pm za insta, fb na SMS za kawaida...jamaa akaniuliza unafanya nini na simu yangu? Nikamwambia kausha.
Usiku wa ile siku alifariki, nilicheza kama Ronaldo manake mkewe hakuwa na access nayo wakati jamaa akiwa hai.
 
Simu yangu ni private property.

Hahah hata iweje MTU asisome msg
 
Mke wangu alikatazwa na mama yake asijekushika simu yangu kuikagua na alimwambia hataki kusolve kesi zinazotokana na simu.
Sina wasiwasi kabisa mama mkwe ameshamaliza mchezo
Mama mkwe wako anajua sana, uwe unamtumia vipesa mara kwa mara mkuu.
 
Kuna wanaume hawaendekezi sex na kila aina na mtu..Siyo kila skirt anataka kuiparamia
Wapo ndio lakini kwa uchache wao.

Imagine baba wa imani Ibrahim but alizaa na house girl wake.

Kina Suleiman na michepuko yake kama 300 hivi.

Kina Bill Clinton na Monica Lewinsky

Kina Omary Mahita (IGP miaka ya 2000) kuzaa na house girl wake.

Mwanaume unaweza kuwa na mke mzuri sana but ukapata tamaa ya "kumgonga" muuza matunda wa barabarani.
 
Back
Top Bottom