Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Sijambo..nawaona miamba ya kaskazani mnapeana ABC😁We nyau hujambo?
Umeadimika ujue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijambo..nawaona miamba ya kaskazani mnapeana ABC😁We nyau hujambo?
Umeadimika ujue
Nakupenda mdogo wangu[emoji3590] Mungu akubariki, ni kweli kuna muda ukifika unaona kama ni kujichosha.Inategemea na mtu.Binafsi mwakani nitakua 30 but I stopped flirting at the age of 26.
Kuanzia 16yrs( nilivyomaliza form 4 ) mpaka around 24 yrs, nimeflirt sanaaaa mpaka saiv naona ni utoto.
Ukifika 27 yrs, Usipende ku entertain ujinga ujinga au mazoea zoea ya hovyo aka sex chats na kila mtu hata kama si type yako.
Very intellectual baby, pokea maua Yako please [emoji1651][emoji1651][emoji1651][emoji1651][emoji1651][emoji1651][emoji1651]I mean niwe in a relationship na mtu, halafu nimcheat nilale na mwingine kesho , ndo kitu siwezi fanya
Ayaaaaaa.....🙊
Ushatoa code ya camp...😜
Uzuri hizi mbinu na sisi wake zenu tunazisoma humu.
For men katika 10 yupo Mmoja Tena inawezekana naye kaachwa siku c nyingiSolution ni moja tu, tuache kuchepuka...
Swali, is it possible kuishi bila kuchepuka?
Senior......Hahah...
Usihofu sio kila raia anaweza soma ramani yq vita mkuu...😁
Google browser history zenu pia mzi prune msije mkaua wapendwa wenu Kwa presha.
Mama mkwe wako anajua sana, uwe unamtumia vipesa mara kwa mara mkuu.Mke wangu alikatazwa na mama yake asijekushika simu yangu kuikagua na alimwambia hataki kusolve kesi zinazotokana na simu.
Sina wasiwasi kabisa mama mkwe ameshamaliza mchezo
Wapo ndio lakini kwa uchache wao.Kuna wanaume hawaendekezi sex na kila aina na mtu..Siyo kila skirt anataka kuiparamia
Hahaha hajui. Wala hasubutu kuijua.Mkuu, kwamba my wife wako hajui security za simu yako?
Yan huna haja ya kutafuta password.Simu hizi
Afadhali!Ila mimi sio mwamba wa kaskazini!!