Siku umeugua ghafla mke/mume akiambiwa akae na simu yako utakuwa na amani kweli?

Siku umeugua ghafla mke/mume akiambiwa akae na simu yako utakuwa na amani kweli?

Ukiwa mgonjwa naona unaweza kukata Moto kwa presha za Simu.
Mtu unaweza kulichukulia lightly lakini amini kama hujatulia unaweza kujiaibisha kwa makandokando yako mbele ya wife.
 
Ilinitokea miaka ya nyuma.
Nlipata ajali nikazima yaan nikawekwa ICU kwa zaidi ya wiki.
Wife alikabidhiwa simu. Na alikuwa anaijua pattern yangu.
Kuja kuzinduka ndo napewa pole za ajali. Ni Kama wiki na Zaid ilipita.
Nkaambiwa pikipiki ipo police na sim ina mke wako Mama J.
Baada ya hpo sikuwa na amani.
Kwa kweli simu yangu huwa ina bangi za kutosha.
Na ni kweli alizikuta na Hali niliyokuwa nayo akawa mpole.
Ni kati ya matukio mabaya Sana kwangu.
 
Charts na picha za michepuko zipo secured with very strong password.

Atasikia tu mlio wa msg lakin hataiona popote.
 
Back
Top Bottom