Siku umeugua ghafla mke/mume akiambiwa akae na simu yako utakuwa na amani kweli?

Kama miaka ngapi Barbie
Inategemea na mtu.Binafsi mwakani nitakua 30 but I stopped flirting at the age of 26.

Kuanzia 16yrs( nilivyomaliza form 4 ) mpaka around 24 yrs, nimeflirt sanaaaa mpaka saiv naona ni utoto.

Ukifika 27 yrs, Usipende ku entertain ujinga ujinga au mazoea zoea ya hovyo aka sex chats na kila mtu hata kama si type yako.
 
Wazee usiombe nilienda hospital tumbo linauma mara gaflaa ikatakiwa nifanyiwe emergency operation Niko na intestinal obstruction secondary to sigmoid volvolus ebanaee nikapelekwa theater nikaacha simu na wallet huko theater Hata nlikuwa sijali kinachotokea nawaza tu michepuo yangu ikinitafuta mungu saidia nilikaa theater masaa manne nakuja kuzinduka baada ya masaa 16 hakuna mchepuko ulionitafuta.
 
Una misimamo ya wale jamaa wa Taliban mkuu.
 
Hahaha mkuu umeua, hiyo scenario nadhani sio poa, unaweza kupigwa chini ukiwa hospitali hakyanani.
 
Safiii πŸ’‹
 
Mbinu ni nyingi sana. Chukueni mkazitumie pia kufukunyua.

Kuna hii moja kwa sisi wazee wa internet devices hasa MI-Fi ambazo hutumia line.

Hiz ndio wengine hutumia kuchat maana ili uweze ku access inbix ni lazima uji connect kwenye wife kisha u login kwenye panel ya vida au tigo then unaanza kutuma kusoma na kupokea text...uki logoff imeisha hiyoo huna haja ya kufuta texts..huko uko disconnect wi-fi hakuna jambo..
 
Inaonekana wewe ni mtundu sanaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Sijaelewa mkuu, fafanua kwa layman aelewe.
Samsung (sijui na devices nyingine?) wana secure folder, hilo ni mahususi kuficha uchafu wote isipokuwa sms, ila chats zingine kama wasap nk, picha zote zinamezwa huko.
 
Upewe maua yakoπŸ’πŸŒΉπŸŒ·πŸŒΈπŸŒΌπŸ΅πŸ₯€πŸ₯€
 
Huna mpango wa kando Suzie? Hapa tunawaongelea wenye mipango yao ya pembeni na wale wanapenda kuflirt.
 
duh huo ni mtihani mkubwa
 
Malizia kuchinja mnyama kwanza alafu tuendelee na mada kuna watu wataelewa kuchinja watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…