kaka na wewe piaDah, kuna simu kwa ajili ya kazi maalumu, najiuliza hapa siku nakuwa hoi simu aishike wife for days, ni taabu hii[emoji16]
Huyu wa milimani ndio tatizo kabisaπ€£π€£kaka na wewe pia
Hapana mkuu, mimi simu yangu haina baya kabisa mkuuMkuu ukinicheka mimi umejichekaππ
Daah miamba husitiriana, acha nami nikusitiri mwambaπππHata yangu haina baya lolote, kwanza natumia line moja tu, sina simu mbili. Sina mchepuko ila napenda flirting.π
anatuwakilisha wapare vizuriHuyu wa milimani ndio tatizo kabisa[emoji1787][emoji1787]
hiyo hiyo moja ndo unafanyia mauajiMdogo wangu mimi sina simu mbili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mnajuana eehMkuu ukinicheka mimi umejicheka[emoji16][emoji16]
malizia kusema kuwa na hata ukipewaga unakataaHata yangu haina baya lolote, kwanza natumia line moja tu, sina simu mbili. Sina mchepuko ila napenda flirting.[emoji16]
[emoji1][emoji1]Daah miamba husitiriana, acha nami nikusitiri mwamba[emoji23][emoji23][emoji23]