Siku umeugua ghafla mke/mume akiambiwa akae na simu yako utakuwa na amani kweli?

Amepewa aishike au aipekenyue?
Apekenyue tu atakayokutana nayo sitaki maswali, maana simu ni yangu sio yetu🙈🙈🙈
 
Daah we chizi sana, muone😂
Sasa utaniulizaje maswali kwa vilivyo kwenye simu yangu jamani!! Ukiona kuna vitu huvielewi vunga maana simu sio yako hivyo huwezi kuvielewa.
 
Akae nayo ya kazi gani badala ya kunihudumia.
 
Amepewa aishike au aipekenyue?
Apekenyue tu atakayokutana nayo sitaki maswali, maana simu ni yangu sio yetu🙈🙈🙈
Hakika atazirai😁😁
 
Akae nayo ya kazi gani badala ya kunihudumia.
Akiwa anakuhudumia, simu itakuwa chini ya himaya yake, sms zako na calls atapokea yeye.
 
Futa texts mama, nenda goggle clear historia zote, siku mwamba akiingia huko utaachwa ukiwa hispitali😁
Huko Google ni sms za namna ipi zinatunzwa? Ni za WhatsApp pekee au na text za kawaida,? Unazikuta sehemu ipi?
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…