leroy
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,599
- 2,161
Social Stratification.
-Imezoeleka kwamba wananchi wa Dar es salaam wanaowekwa katika daraja la kati ni wale wenye asili ya ki-Asia wengi wao waishio Upanga, mnazi mmoja na maeneo mengine ya mjini.
-Licha ya jiji la Dar es salaam kupanuka bado jamii hizi zimeendelea kuwa wapangaji wa nyumba za NHC katika maeneo hayo.
-Inafahamika pia, kuna kikundi kidogo cha wazawa kinaibuka na kuingia katika daraja la kati wengi wao wakijihusisha na biashara.
-Sababu nyingine inayoifanya jamii hii kuendelea kung'ang'ania maeneo hayo pengine ni usalama.
-Najiuliza: Ni lini tutashuhudia na nini kitasababisha makundi ya wahindi kuhama maeneo ya mjini na kuhamia maeneo ya pembezoni kama inavyotokea kwa wazawa?