Leroy siyo mbaguzi, alichosema amekiona na kipo. Mimi kwa Bahati nzuri ,arehemu baba yangu alikuwa katika wafanyi biashara wa kiafrika wa kwanza enzi za mkoloni huko Tanga, kwa sababu asili yetu ni kutoka sehemu za manyara tukiwa na asili za Kiasi/kimbulu na kifyomi, kidogo tumekuwa na sura zilizo tofauti na ndugu zangu wa kibantu kwa upande wa mama. Nilisomea shule ya kihindi kutoka promary hadi secondary ( Karimjee promary na Popatlal pale Tanga) I am talking in the late 1960s, Wahindi walivyojitenga mpaka dakika hii ya leo inachosha sana. Mimi walikuwa wakini tofautisha na binamu yangu wa kisambaa, wakisema eti i am different.
Nilijaaliwa kuwenda kufanya Kazi Dubai na nikaja na likizo Ausha na familia yangu na watoto, nikiwa na house maid wa kihindi, Aloo rafiki wangu wakihindi walikasirika vibaya sana, mmpja aliye karibu sana na mimi akatumwa kuniomba ati either nimrudishe au asitoke njee akibeba watoto au aki sukuma gari, eti ni aibu kwao. Nanyi wengine mnazungumzia kuoa. hawa they will never assimilate , na if we marry them will be those who are outcast.
La pili hebu angalia katika makazi yao, all good positions are reserved for Indians only, kama hakupatikan locally they will bring them from India. Did you know that out 100 companies of even small indian owned business u know 98 will have the accountant Indian from India mostly.
Mhindi akifanya kazi kwa mhindi for ,ore than 10 years anapewa mtaji kuanza biashara yake, mwafrika anafanyakazi kwa muhindi miaka 40, na haumbui hata kibanda, only in very very rare occassion. chunguzeni vizuri sana, Ni wachache sana atakualika nyumbani kwao, they have a saying dont invite the black one in your house , otherwise he will start to believe he is your equal.
While it is different with Waarabu na wasomali they asimilate and will die withus, na tuna zika makaburi mamoja, while wahindi wakiislamu wana makaburi yao, maiti zao zisije kuchafuliwa na za black ones