Mwizi ana tofauti gani na jambazi? Mwizi kwake huhalalisha fani yake hapo naona umeufyata kwakuwa unashajiisha DHULUMA na unapendelea ujambazi hivyo nawe ni mmoja wao!! " Sasa nikujuze madamu mfumo huu unaendelea nchini bsi SAHAU kabisa kama umasikini utatoweka, Sahau kama majangaa yatasimama, Sahau kamwe kama rasilimali ya nchi hii itawafaa wenyeji/wananchi, sahau kama ufisadi utakomeshwa....bali ndiyo utazidi fullufisadi kuwamaliza, Sahau kama mfumko wa bei kwenye mahitaji ya kila siku kusita...Mhememko na mitihani yanaendelea kwa kasi!! WEWE achaa kushabikia DHULUMA !! hiyo vita haitawanusuru...! Mtazidisha maafa na balaa hadi vizazi vyenu vitawaLaani!!!!
Rejea nyuma ukumbuke Sakata la EPA !! Kashfa ya Mstaafu WBM=Kiwira minning, Skendo ya mzee vijisenti...!! Kumbuka mashirika ya UMMA yalivyo filisiwa na Baba zako!! bila kusahau rushuwa katika maisha ya Mtanzania kila siku inamkadamizana kumzamisha ulevi huu !! Dhuluma haidumu SAY NO !! NO to injustice!! alafu unataka ukae upanga?