Nadhani sina haja ya ku comment hapa!
Wadau wengine wameshaokueleza kuwa hili sio swali bali ni alama za kuwa HASIDI!
Hawa wahindi si wanyanyasaji! Bali kinachowafanya wachukiwe na mtu km ww ni ile nafasi yao nzuri ktk jamii yetu!
Baaaas!
Muulize Kingunge Ngombale Mwiru alimpataje Kinje.
Mkuu, mbona umewaka sana, au amekugusa panapohusika?
We ni mnafiki usie na elimu yyt katika haya madai yako!
Mbaguzi na ni kirusi ktk jamii ya waungwana!
Hizo chuki zako peleka kwenu rwanda!
Kwa banyamulenge wenzako!
Halafu kingine kibaya zaidi elimu pia huna!
Nenda kajifunze hizo nhc zilizoko maeneo uliotaja zilikuwa mali ya nani kabla ya yule muonezi kutaifisha!
Kama hilo litakuwa ni kazi kubwa kwako!
Basi nenda ktk hayo majengo! Mengi ya hayo majengo bado yana majina ya wenye mali waliyoyajenga mpaka leo!
Huna hata haya kusema "ohhh sisi wazawa! We uliskia hao wakazi wa hayo majengo woote ni wakuja? Au kwasababu sio weusi km mimi na wewe?
Mods fungeni huu uzi wa chuki tafadhali! Huyu lazima atakuwa muhutu tu!
Tena unabahati niko bize! Ningemtuma afande alfonso akufate hapo kigogo kwa waosha magari!
Mnsfssssssssss!
HAHAHAH we ni muhindi acha hasira tutakusaidia kumuelewesha huyu ndugu yetu anapoint ila tutajitahindi iwe positive instead of that negativity, ila we chill hafukuzwa muhindi yeyote upanga inclunding wewe, tutakulinda we ni mtanzania kwa sasaWe ni mnafiki usie na elimu yyt katika haya madai yako!
Mbaguzi na ni kirusi ktk jamii ya waungwana!
Hizo chuki zako peleka kwenu rwanda!
Kwa banyamulenge wenzako!
Halafu kingine kibaya zaidi elimu pia huna!
Nenda kajifunze hizo nhc zilizoko maeneo uliotaja zilikuwa mali ya nani kabla ya yule muonezi kutaifisha!
Kama hilo litakuwa ni kazi kubwa kwako!
Basi nenda ktk hayo majengo! Mengi ya hayo majengo bado yana majina ya wenye mali waliyoyajenga mpaka leo!
Huna hata haya kusema "ohhh sisi wazawa! We uliskia hao wakazi wa hayo majengo woote ni wakuja? Au kwasababu sio weusi km mimi na wewe?
Mods fungeni huu uzi wa chuki tafadhali! Huyu lazima atakuwa muhutu tu!
Tena unabahati niko bize! Ningemtuma afande alfonso akufate hapo kigogo kwa waosha magari!
Mnsfssssssssss!
Mkuu, mbona umewaka sana, au amekugusa panapohusika?
Inamaana Mwal. Nyerere aliwaonea sio? iko siku mtafukuzwa kwanza huko kwenu ni wabaguzi sana. Hamfai kuhifadhiwa hata chooni. Mtaona tu siku yaja.We ni mnafiki usie na elimu yyt katika haya madai yako!
Mbaguzi na ni kirusi ktk jamii ya waungwana!
Hizo chuki zako peleka kwenu rwanda!
Kwa banyamulenge wenzako!
Halafu kingine kibaya zaidi elimu pia huna!
Nenda kajifunze hizo nhc zilizoko maeneo uliotaja zilikuwa mali ya nani kabla ya yule muonezi kutaifisha!
Kama hilo litakuwa ni kazi kubwa kwako!
Basi nenda ktk hayo majengo! Mengi ya hayo majengo bado yana majina ya wenye mali waliyoyajenga mpaka leo!
Huna hata haya kusema "ohhh sisi wazawa! We uliskia hao wakazi wa hayo majengo woote ni wakuja? Au kwasababu sio weusi km mimi na wewe?
Mods fungeni huu uzi wa chuki tafadhali! Huyu lazima atakuwa muhutu tu!
Tena unabahati niko bize! Ningemtuma afande alfonso akufate hapo kigogo kwa waosha magari!
Mnsfssssssssss!
Ndo maana anauza unga?Muulize Kingunge Ngombale Mwiru alimpataje Kinje.
Inamaana Mwal. Nyerere aliwaonea sio? iko siku mtafukuzwa kwanza huko kwenu ni wabaguzi sana. Hamfai kuhifadhiwa hata chooni. Mtaona tu siku yaja.
wahindi wabaguzi lakini hizi nyumba walijenga wao. Sasa na wewe jenga zako halafu swali liwe wabongo wakihama kigogo itakuwaje?
Mkuu hivi ulishawahi kufanya kazi kwa muhindi wewe? Hebu waulize waliowahi kufanya
HAHAHAH we ni muhindi acha hasira tutakusaidia kumuelewesha huyu ndugu yetu anapoint ila tutajitahindi iwe positive instead of that negativity, ila we chill hafukuzwa muhindi yeyote upanga inclunding wewe, tutakulinda we ni mtanzania kwa sasa
Mkuu kahtaan mbona povu limekutoka sana?
Kwa hiyo ndiyo muwadhurumu mali zao?wahindi wabaguzi lakini hizi nyumba walijenga wao. Sasa na wewe jenga zako halafu swali liwe wabongo wakihama kigogo itakuwaje?
ana hasira kama alshababudont take it personal
Aadilu habari Mkuu; usiogope kufanya kazi na Mhindi/Mwarabu/muAsia/Mzungu acha udhaifu wako na hofu zako..jiamini na uwe mkweli katika kazi yako weka honest mbele utafanikiwa hata ukufanya kazi na firauni au Baniyani !! Kazi yako ndiyo itakupa matokeo mazuri na mustakabli !! mbona wengi wamewajibika vilivyo na wamefanikiwa kuwa na Nyumba nzuri, gari nzuri na wanasomesha watoto nje nao wangali wakiendelea kufanya kwa wahindi !! Uaminifu haupoteei....Mkuu hivi ulishawahi kufanya kazi kwa muhindi wewe? Hebu waulize waliowahi kufanya
ana hasira kama alshababu
KuwaOnea tuu ! aliwadhulumu mchana kweupee !! aliwanyanganya Viwanda/majengo,maghorofa,Biashara,shule,hospitali,Cinema nk..,kama vile Majabazi wanavyovamia mabenki!! Aliwafilisi hadi ZERO !! MWISHOE akwachezea sheree na kuwakejeri!! Sasa ona ya MUNGU vipi Jamaa wakaenda ULAYA/CANADA/NJE Mungu si Athumani Moula ni karimu sana akawafungulia UTAJIRI kuliko walokuwa nao TZ. Na sisi Mungu akatulipizia tukapigwa na UMASIKINI wa hali ya chini kabisa Tanzania ikawa ya pili baada ya mwisho katika takawimu za UFUKARA na umasikini wa kuombbaOmba kilikuwa kipindi cha shida kwetu uliza walobaki hapa duniani...hadi sasa tunalipa thamani ya uzulumati na unyanyasaji japo kuwa tulitaifisha kila kitu !! Ona NHC/ Mashirika ya Umma/SisiEm nk. haina rasilimali imekumbwa na ufisadi....Uharibifu...ufujaji...Uonevu..hawajaali Raia na mengi yasiyoelezeka Wakati serikali ilipata kila kitu FREE bure(mali ya Umma) !!Inamaana Mwal. Nyerere aliwaonea sio? iko siku mtafukuzwa kwanza huko kwenu ni wabaguzi sana. Hamfai kuhifadhiwa hata chooni. Mtaona tu siku yaja.
KuwaOnea tuu ! aliwadhulumu mchana kweupee !! aliwanyanganya Viwanda/majengo,maghorofa,Biashara,shule,hospitali,Cinema nk..,kama vile Majabazi wanavyovamia mabenki!! Aliwafilisi hadi ZERO !! MWISHOE akwachezea sheree na kuwakejeri!! Sasa ona ya MUNGU vipi Jamaa wakaenda ULAYA/CANADA/NJE Mungu si Athumani Moula ni karimu sana akawafungulia UTAJIRI kuliko walokuwa nao TZ. Na sisi Mungu akatulipizia tukapigwa na UMASIKINI wa hali ya chini kabisa Tanzania ikawa ya pili baada ya mwisho katika takawimu za UFUKARA na umasikini wa kuombbaOmba kilikuwa kipindi cha shida kwetu uliza walobaki hapa duniani...hadi sasa tunalipa thamani ya uzulumati na unyanyasaji japo kuwa tulitaifisha kila kitu !! Ona NHC/ Mashirika ya Umma/SisiEm nk. haina rasilimali imekumbwa na ufisadi....Uharibifu...ufujaji...Uonevu..hawajaali Raia na mengi yasiyoelezeka Wakati serikali ilipata kila kitu FREE bure(mali ya Umma) !!
Hapo wakarudi baadhi ya wahindi na fedha kutoka majuu hao sasa na kuanzisha biashara upya na kunyanyua UCHUMI tena na kuweka kiwango, Ndiyo maana unasikia sasa Bongo inapumua na kunyanyuka nyanyuka na Leo nyie mnajifaraguwa na wengine mnabweteka !! Nyie vitoto vya juzi mumejazwa fikra mbovu na vyama vyenu, ndo maana mupo mbululu na mbumbubu tu !! eti vizazi viypa ...Time will tell!! Just work hard opportunities zipo kwa TZ. Lakini mkizubaa na kulalama Wakenya watanyakua fursa na wageni watafaidika.