Siku watu wakikutana watakimbiana humu!

Hii sio instagram. JF itabaki watu wenye akili na wachache wanao abudu watu ambao wapo humu kuchambua mambo ya watu wenye akili.
 
Tatizo kuna "wasiojulikana" pia humu haji mtu! Sahau!
 
Wewe huwa unawanukuu watu vibaya. Watu wa humu wana maisha ya kawaida sana tu.
Nikupe faida kidogo, humu hakuna tajiri hata mmoja, matajiri wana shughuli mingi na hawana huo muda wa kujiunga na kuchangia chochote maana wataupoteza muda wao ilihali muda kwao ni pesa.
Huku mpaka waganga tunao.
 
Hahaaaa mbona mimi sina kazi nipo tu nyumbani na nipo humu jf [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sitakimbia Mtu..............na kwa taarifa yako wengine sisi ni choka mbaya........ nipo hapa TAZARA Fly over ni Kibarua nalipwa kwa kutwa nakula mlo mmoja a.k.a kukaanga machine........!!!
 
Hayo ni mawazo yako ila nachojua humu wamejaa wasomi vibopa na wazuri

Mganga yupi
 
Sitakimbia Mtu..............na kwa taarifa yako wengine sisi ni choka mbaya........ nipo hapa TAZARA Fly over ni Kibarua nalipwa kwa kutwa nakula mlo mmoja a.k.a kukaanga machine........!!!
Uhame jf[emoji23] [emoji23]
 
Mimi naomba uniondoe kwenye kundi hili, kwa sababu hata kiwaja sina! Vile vile sijawahi kudai madai yoyote ya aina hiyo, ni mtoto wa mkulima sawa na Mh. Pinda tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…