Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo kuna "wasiojulikana" pia humu haji mtu! Sahau!Kwa maisha tunayoishi jf ya ufahari mkubwa
Magari ya bei mbaya!
Majumba ya kifahari
Kazi nzuri nzuri
Mavazi ya kifahari
Jf hakuna aliyepanga chumba kimoja labda Nyumba nzima kodi 3 millions na zaidi
Hakuna anayekula kwa shida!
Kila mtu anatembea amekaa tena sio starlet!
Hakuna anayepata mshahara Wa chini ya laki 9!
Wote tumeajiriwa vitengo nyeti!
Au tuna mabusiness au makampuni cc husnathebossylady!
Hakuna anayeungaunga life!
Wote tuko mahandsome na mabeautifu
Tuna ngozi nyororo na sura za mvuto!
Mods naomba watusaidie kupanga get together party walau tukutane one day!
Na wamikoani nao waje dar! Au Wa dar waende mikoani
Tatizo kuna "wasiojulikana" pia humu haji mtu! Sahau!
Waje tuWapo watakao kuja mzeee
Sitakimbia Mtu..............na kwa taarifa yako wengine sisi ni choka mbaya........ nipo hapa TAZARA Fly over ni Kibarua nalipwa kwa kutwa nakula mlo mmoja a.k.a kukaanga machine........!!!Kwa maisha tunayoishi jf ya ufahari mkubwa
Magari ya bei mbaya!
Majumba ya kifahari
Kazi nzuri nzuri
Mavazi ya kifahari
Jf hakuna aliyepanga chumba kimoja labda Nyumba nzima kodi 3 millions na zaidi
Hakuna anayekula kwa shida!
Kila mtu anatembea amekaa tena sio starlet!
Hakuna anayepata mshahara Wa chini ya laki 9!
Wote tumeajiriwa vitengo nyeti!
Au tuna mabusiness au makampuni cc husnathebossylady!
Hakuna anayeungaunga life!
Wote tuko mahandsome na mabeautifu
Tuna ngozi nyororo na sura za mvuto!
Mods naomba watusaidie kupanga get together party walau tukutane one day!
Na wamikoani nao waje dar! Au Wa dar waende mikoani
Hayo ni mawazo yako ila nachojua humu wamejaa wasomi vibopa na wazuriWewe huwa unawanukuu watu vibaya. Watu wa humu wana maisha ya kawaida sana tu.
Nikupe faida kidogo, humu hakuna tajiri hata mmoja, matajiri wana shughuli mingi na hawana huo muda wa kujiunga na kuchangia chochote maana wataupoteza muda wao ilihali muda kwao ni pesa.
Huku mpaka waganga tunao.
Nikaribishe kwakoSi kweli jaman mbona me naishi chumba kimoja
Mimi naomba uniondoe kwenye kundi hili, kwa sababu hata kiwaja sina! Vile vile sijawahi kudai madai yoyote ya aina hiyo, ni mtoto wa mkulima sawa na Mh. Pinda tu!Kwa maisha tunayoishi jf ya ufahari mkubwa
Magari ya bei mbaya!
Majumba ya kifahari
Kazi nzuri nzuri
Mavazi ya kifahari
Jf hakuna aliyepanga chumba kimoja labda Nyumba nzima kodi 3 millions na zaidi
Hakuna anayekula kwa shida!
Kila mtu anatembea amekaa tena sio starlet!
Hakuna anayepata mshahara Wa chini ya laki 9!
Wote tumeajiriwa vitengo nyeti!
Au tuna mabusiness au makampuni cc husnathebossylady!
Hakuna anayeungaunga life!
Wote tuko mahandsome na mabeautifu
Tuna ngozi nyororo na sura za mvuto!
Mods naomba watusaidie kupanga get together party walau tukutane one day!
Na wamikoani nao waje dar! Au Wa dar waende mikoani
Huamini??Wewe kabisa mmmh