Mpare huyo ujue!!Anakuja na kibunda, amepata marejesho ya hisa zake π
Kwakwleintamleta tu sitaki kabisa kubanwa mieππ½πSasa si kaletwa na nyie wazazi wake π haya mkimshindwa mniletee mama mkubwa nimlee, anichangamshie nyumba kidogo π€
Amesema leo atakupa kitu ili na wewe umpe mavitu π€Mpare huyo ujue!!
Kuwa mama na uhuru wapi na wapi πKwakwleintamleta tu sitaki kabisa kubanwa mieππ½π
Wee sitakagi hayo makitu yaniguse ntakimbilia kujiloweka bafuni! Halafu hii ya kuamshwa alfajiri huwa siipendi kabisa! Sijui nyie wenzangu mnawezaje!π€¦π½ββοΈKuwa mama na uhuru wapi na wapi π
Enewei tafuta mtu awe anakuamsha amsha alfajiri, atakua anamwagia kwenye trakooo ili mimba isiingie π
Amechelewa sasaπ€£π€£π€£Amesema leo atakupa kitu ili na wewe umpe mavitu π€
π€£π€£π€£Ndio maana mke mwenza kumbe!!Wee sitakagi hayo makitu yaniguse ntakimbilia kujiloweka bafuni! Halafu hii ya kuamshwa alfajiri huwa siipendi kabisa! Sijui nyie wenzangu mnawezaje!π€¦π½ββοΈ
Wee sitakagi hayo makitu yaniguse ntakimbilia kujiloweka bafuni!
Yana shida gani kwani ππ€£ mtu akiwa anakula vizuri na maji ya kutosha mbona odour inakua sawa tu.π€£π€£π€£Ndio maana mke mwenza kumbe!!
Alfajiri ndiyo napenda, niamshwe nayo, nizagamuliwe vizuri halafu nimalizie kausingizi ka asubuhi.Halafu hii ya kuamshwa alfajiri huwa siipendi kabisa! Sijui nyie wenzangu mnawezaje!π€¦π½ββοΈ
Yanatia kinyaa bwana!πYana shida gani kwani ππ€£ mtu akiwa anakula vizuri na maji ya kutosha mbona odor inakua sawa tu.
Uwii sipendi! kwanza kale kausingiz ka alfajiri kalivyo katamu! Aah jamani hapana, labda niwe highπ€ͺAlfajiri ndiyo napenda, niamshwe nayo, nizagamuliwe vizuri halafu nimalizie kausingizi ka asubuhi.
Nikija kuamka asubuhi, mwepesiiii π€£
Unataka league sio?Tuli dogo dawa ikuingie ππ
Kanzu unazo mkuu?N ndoto yangu kuwa na mwanamke mtanga, let's make it plz π