Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,620
- 3,165
Mechi ya France vs Spain naichek huku kifuani kuna kichwa cha mtu π₯°Nasikia umetekwa na mtoto wa kidigo siku hizi π€
Mtanga ebu sema kituπAsikie utamu wa Vanilla π
Siku nyingine unamchanganyia na pilipili manga na mdalasini ilimradi umchanganye tu, hata asielewe anachanganywa na nini haswaaaa π€Asikie utamu wa Vanilla π
Si ajabu huyu ndo mwenye mtaa wake wakuitwa mama kibonge wa buza Binti wa zamani ndo mama kibonge wa buzaUsilete ushahidi wa picha broo leta manyoya ya kuku tu
We mwenyew si unaelewa mdigo hapendi nitumie simu nikiwa nae πleo umepatikana π haya bwana
Sasa wewe bikra utaweza nini?Mkuu hauna mdogo wa kike tuwemashemeji
πππ bwashee watoto wa kidigo sio poa , wanapiga vibaiskel unaweza kujuta na kisukari chako πKawa mbosso khan, mwanzo nilijua kapandwa na jini kumbe mtoto wa kidigo kaweka kende zake kwenye kisosi ndugu yetu anaanza kushusha mashairi π Harmful
Nimecheka sanaKawa mbosso khan, mwanzo nilijua kapandwa na jini kumbe mtoto wa kidigo kaweka kende zake kwenye kisosi ndugu yetu anaanza kushusha mashairi π Harmful
Makebo ndo manin?
Ni humu tu πMtanga ebu sema kituπ
Ninaye ila ana masharti mengi sana hutayaweza!Mkuu hauna mdogo wa kike tuwemashemeji
Hakikisha anafika kwenye kilelehuu uzi nmeusoma nkajaribu kuvuta picha jinsi naenda kumshughulikia demu wangu leo
Dah! π kwa hyo kama una kisukari bora ukae mbaliπππ bwashee watoto wa kidigo sio poa , wanapiga vibaiskel unaweza kujuta na kisukari chako π
Sawa, basi karibu tena, kwanza umeikutia series mwanzo kabisa, utafaidi!Dah hapana siwezi fanya hivyo na sina sababu , labda kimakosa tu, sasa kama yule Dr manyau nyanu mlamba vinefembe anae dai nawadhihaki wadada sijamweka ignore , nikuweke wewe kwa sababu zipi?
Sijakuelewa!Piga nayakwako niione hapa tukowawili tunachati