Siku ya 2: Ulimwengu wa raha 😋: Hapo hapo, hivyo hivyo, usiache….

Siku ya 2: Ulimwengu wa raha 😋: Hapo hapo, hivyo hivyo, usiache….

Mzee mwenzangu hiki kichwa kina mambo mengi🤣🤣🤣
Natulia tuliii nikifikiria ya msingi. Akimaliza aifunike alale.
Eti akimaliza, aifunike 😂
Nimecheka mpaka mbavu zimeuma 🤣

giphy 33.GIF
 
Tokea nipate ka baby girl naogopa kweli uasherati, natelezaga mara moja moja tu.......... 🥴 ninyooke mie karma isinisulubu 🙌
Too late, kama uliharibu mabinti za watu na wako atapitia the same fate.

vuta picha baba yako anasoma huu uzi mwanae anavolilia mwichi
Baba yangu ananijuaje mimi ni mwanae humu?
Na kama mzee anapenda kusoma nyuzi za mapenzi, basi acha aburudike, sioni ubaya.
 
Back
Top Bottom