Siku ya 2: Ulimwengu wa raha 😋: Hapo hapo, hivyo hivyo, usiache….

Siku ya 2: Ulimwengu wa raha 😋: Hapo hapo, hivyo hivyo, usiache….

"Nikapanda kwa juu, akanishikia mchi wake, nikaukalia taratibu ukateleza kwenye kinu na yeye akahamisha mikono, akapeleka kwenye makebo, akawa anayashika shika huku anayaachanisha ili mchi uzame vizuri kwenye kinu.............. "

Kabla sijaanza kuwasimulia hili tukio la jana:
  1. vipi ushawahi kuambiwa “usiache, endelea hapo hapo ………..” Ilikuwaje na ulikua unamfanyia nini mwenzako?

  2. Lini ni mara ya mwisho mkeo au mpenzi wako ameikalia mashine yako, akashika usukani wa safari yenu kitandani? ilikuwaje? na unaupenda huu mkao?

Simulizi ya 2 kati ya 7

Jana asubuhi tulikua safarini, tukafika hiyo sehemu mchana na nikakuta surprise ya kitu ambacho nilikua nakitamani kwa muda mrefu, kwahiyo nikafurahi sana. Tukaweka mizigo yetu pale tulipofikia , tukaenda kula lunch halafu tukarudi room.

Kufika ndani, ba mjengo akafikia kitandani akakaa akawa anatumia simu yake. Mimi nikavua nguo zangu nikabaki na pichu tu halafu nikaenda msalani.










Nilivyorudi nikakuta na yeye amevua, amebaki na nguo yake ya ndani, ila pia nikaona jinsi mchi wake ulivyofura. Nikamfuata pale kitandani, nilivyomkaribia akaweka simu yake pembeni. Nilivyomfikia nikamwambia “asante kipenzi kwa kunileta hapa, nimefurahi” na nikiwa bado nimesimama nikaanza kupapasa mchi wake ukiwa ndani ya boxa. Nikamuinamia tukabadilishana mate, akasema “karibu mke wangu, unastahili” huku anashusha mkono kwemye mkia wangu na kuanza kuuminya minya.















Nikatoa ile boxa na nikamuinamia, nikaushika mchi wake kwa mikono miwili, nikautemea kilainishi cha asili na nikaanza kuusugua mikononi kwa staili ambayo najua huwa anapenda. Akawa anahema kwa nguvu huku anagugumia, nikazidisha spidi ya kusugua mchi wake huku napapasa pale juu kwenye tundu la sindano. Baada ya kuchezeana kidogo, nikamwambia asogee katikati ya kitanda, nikapanda kwa juu, akanishikia mchi wake, nikaukalia taratibu ukateleza kwenye kinu na yeye akahamisha mikono, akapeleka kwenye makebo, akawa anayashika shika huku anayaachanisha ili mchi uzame vizuri kwenye kinu 🍑🥕.

View attachment 3630460

Nikaanza kumsugua mchi wake na kinu changu, taratibu huku nazungusha nyonga, na yeye akaendelea kuyabinua makebo huku anayashika shika. Baadaye nikamuinamia kifuani, nikaanza kuchezea vichuchu vyake kwa vidole huku bado namsugua mchi wake, ghafla akanikatisha, akanipokea, akanibana kiuno, akaanza kutwanga yeye kutokea kwa chini, akanitwanga kwa nguvu, spidi ikazidi, nikaanza kumlilia “mume wangu hapo hapoooo, usiacheee” naye ananijibu “hivi eenhe” na mimi nasema “ndiyoooo, oooh aaaaahaaa hivyo hivyo, usiacheee, tamuuu” nikawa nasikia raha, sauti ikakataa nikabaki naguna tu, akanitwanga, akanitwangaa mpaka wote tukafikia kilele cha kibo :uwotWater::uwotWater::uwotWater::uwotWater::uwotWater::uwotWater:.

View attachment 3630535

Tukajilaza hapo kitandani, nikapitiwa kausingizi. Kilichoendelea baada ya kuamka nitakuja kusimulia kwenye part 3, maana ni yeye aliniamsha anataka tena 🤭 !

PS:
Naomba ushuhuda kutoka kwa wanawake mlioolewa (au mnaodate) wanaume wanaotoka kwenye familia za wafugaji, wale waliozaliwa na wakakua wanakunywa maziwa na nyama za kutosha; vipi mioto mnayopelewa huko kwenu huwa ikoje?


Alamsiki!



Siku 7 za raha:

Intro - Siku saba za raha: tuzogoe 😊 halafu tukutane kesho saa 12 jioni
  1. Ulimwengu wa raha 1/7 - Naomba uniwekee yote …………. - July 14
  2. Ulimwengu wa raha 2/7 - Hapo hapo, hivyo hivyo, usiache …………. - July 16
  3. Ulimwengu wa raha 3/7 - Utamu hauniishi hamu …………………… July 19
  4. Ulimwengu wa raha 4/7 - ........................
  5. Ulimwengu wa raha 5/7 - .........................
  6. Ulimwengu wa raha 6/7 - ........................
  7. Ulimwengu wa raha 7/7 - .........................

Zingatia:

Kuandika ni moja ya vitu vinavyonifurahisha, nitaandika vile ninajisikia 😎, kama hupendi mambo ya mapenzi na mahusiano, feel free kuniweka kwenye ignore list yako usione nyuzi zangu. Asante!

***********
Uko vizuri kwenda na uhalisia kupitia maandishi
 
Pilikapilika sitaki huwa nahisi nitaharibu
Nina style yangu ya kulala inaitwa sina habari
Cracks Me Up Steve Harvey GIF by ABC Network.gif

🤣 🤣 Sina habari ndiyo huwa unalalaje?
 
🙆.
Kuna muda ukiwa kwa bed kwenye kuikalia hapo unakuwa kama mimi halafu unakataaa 😂😂🙌🙌🙌
We dada angu ni kiboko.
giphy 35.GIF


Ukichoka unachuchumaa, ukichoka unapiga magoti, ukichoka unaikalia yote, hakuna kushuka mpaka tujisikie kama huyo dada hapo juu 🤣

Kwenye Ile kutwanga kwa spidi pale kwa juu.
Kuna raha yake 😋😋😋.
Raha sana, kuna wakati uitelezeshe yote, kuna wakati udeal na kichwa na shina kwa juu juu tu, unaipeleka unapoona inakukuna vizuri. Weeeeeh ni raha buana 😋🤭
Leo hakushika Kebo Moja 😂
Alishika makebo yote 🤣🤭
 
Back
Top Bottom