Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #201
Usilizwe na vitu vidogo hivyo dogo langu 🤗, hayo maneno anamuambia kila mtu.yani hiyo siku nilikoma nikanywea kwa aibu mno😄,, ka mtu kalisema hakapati usingizi nikakaambia mi nitakuita JF usiku wa manane uwe unajichatisha mpaka upate usingizi,,, siku mbili mbele kaka nambia nakataka, nililia mno😄😄😄😄
Yani akikuanzishia mazoea kidogo, ukacheka naye anafikiri basi umempa green light, ana mambo ya kitoto sana!
, usije ukawa umeoa kama