Siku ya 2: Ulimwengu wa raha 😋: Hapo hapo, hivyo hivyo, usiache….

Tokea nipate ka baby girl naogopa kweli uasherati, natelezaga mara moja moja tu.......... 🥴 ninyooke mie karma isinisulubu 🙌
Too late, kama uliharibu mabinti za watu na wako atapitia the same fate.

vuta picha baba yako anasoma huu uzi mwanae anavolilia mwichi
Baba yangu ananijuaje mimi ni mwanae humu?
Na kama mzee anapenda kusoma nyuzi za mapenzi, basi acha aburudike, sioni ubaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…