Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #201
Usilizwe na vitu vidogo hivyo dogo langu 🤗, hayo maneno anamuambia kila mtu.yani hiyo siku nilikoma nikanywea kwa aibu mno😄,, ka mtu kalisema hakapati usingizi nikakaambia mi nitakuita JF usiku wa manane uwe unajichatisha mpaka upate usingizi,,, siku mbili mbele kaka nambia nakataka, nililia mno😄😄😄😄
Asante, ila vinywaji vigumu vigumu hivyo nitaviwezea wapi?Karibu safari lager madam
Jaribu hata Savana ama brutal shemAsante, ila vinywaji vigumu vigumu hivyo nitaviwezea wapi?
Hicho ndo kizuri kwenye mtanange na mchi na kinu mpka morningKichwa cha pombe sina Shem, naweza kusababisha maafa yasiyotarajiwa bure 😁
Aione mnywaji wa JF: min -me
Yes niwe mkweli bao la kwanza halizidi dk6 au 7 kwangu, ila la 2 linaenda kwa wakati wake dada had dk 20+Pole 🤣
Na baada ya kumwaga la kwanza huwa unampa ma mtu aikalie?
Punguza kamdomo 😁 enewei, kuna mwingine nilimsahau Castle_Lite , huyu mtu anatetea pombe kama chakula.Sio kweli wapo chapombe humu mimi ni mdomo tu😄
Mmmh sasa kama kichwa maji si nitafika hapo na kulala tu 😂 hiyo mpaka asubuhi nikiwa mlevi naweza wapi?Hicho ndo kizuri kwenye mtanange na mchi na kinu mpka morning
Tulia wewePunguza kamdomo 😁 enewei, kuna mwingine nilimsahau Castle_Lite , huyu mtu anatetea pombe kama chakula.
Mbona hizo tayari nyingi sana 😂Yes niwe mkweli bao la kwanza halizidi dk6 au 7 kwangu,
Uko vizuri 🔥ila la 2 linaenda kwa wakati wake dada had dk 20+
Sasa tako linahusianaje na kuridhikaDada Binti wa zamani
Ni nyingi ila kwa mke wangu kwa kuwa ana tako anaona chache
Safi sana, kumwaga haraka haraka inaboa!La 2 halisumbui hili hata tunapiga stori kwann mkwawa alikamatwa