Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Maji chumvi Mkuu?ChoiceVariable na chiembe wasaidieni hawa watu wachimbe visima vya PPP ya Kafulila 😁
Kasongo yeyeeee nangai...... 🎵 🎶 🎵 🎶 🎵kAsToMa KeRo.
mAmA aNaUpIgA mWiNgI.
Lord have mercy "operass".Kasongo yeyeeee nangai...... 🎵 🎶 🎵 🎶 🎵
Mkuu acha hizo🤣🤣ChoiceVariable na chiembe wasaidieni hawa watu wachimbe visima vya PPP ya Kafulila 😁
Kazi kuwa kupe lakini huduma duni, wamenikwaza😩😩
Ni kweli mkuu Wizara ya MajiHali siyo njema
Dah!Cha msingi mwenyekiti apite kwa kishindo
🤣🤣 Mkuu unanchekesha ila kiukweli Wizara ya Maji wanazinguakAsToMa KeRo.
mAmA aNaUpIgA mWiNgI.
Mkuu sasa hivi tunatembea na PPP ya Kafulila tu🤣Mkuu acha hizo🤣🤣
Kwahiyo Mkuu unafuragia madhila yanayotukumba wengine?Endeleeni kupiga kelele apewe Mitano Tena 🤣