Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Wakuu,
Msione kila siku napiga kelele mkadhani nazingua, leo naweka baadhi ya screenshot muone majibu ya DAWASA ya kipuuzi na wananchi tunavyolilia huduma utafikiri tunaipata bure!
Pia soma: √ - Waziri Aweso: Tatizo la Maji Mbezi Beach Mkoani Dar Es Salaam limeisha. Kulitokea Hitilafu
Kweli siku nne afu kila siku tunajibiwa maji yanasukumwa yatafika presha imeongezeka na hatupati hata tone. Siku 4, Wizara ya Maji mnatukosea sana.
Majibu ni haya haya kwa siku 4 mfululizo, Aweso hayo maji ulisema yapo ya kutosha Dar yako wapi, siku 4 watu tunakaa bila maji mpaka yunaingia gharama ya kuagiza kwenye magari?