gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Kila mtu analipa kodi wapi bana, wakati ni wakwepaji kodi wazuri,kama maji inalipiwa,lipia ya kwenye madumu yanayosambazwa kwa toroliMkuu una ubongo kweli huko kichwani? Kwani haya maji kwa mfano tunapewa bure? Kila mtu analipa kodi, anastahili kupata huduma bora.... unatuambia upuuzi gani hapa?🙄🙄
Ukiona hauwezi kushindana nao ungana nao, nikiripoti kutokea tandahimba. nasemaje, mama anaubonda mwingi🤗Nikitaka kamati ya majungu ntakuwa nakukumbuka Mkuu😆😆
Kwani sisi ni dawasa au Wizara ya maji?ChoiceVariable na chiembe wasaidieni hawa watu wachimbe visima vya PPP ya Kafulila 😁
Tuendelee kuimba tu 🤣🤣🤣.. kosoa uone hapa sasa nimetoka kunywa supu nikakutana na vijana wa kijani nimewajaza ujinga mama anaupiga basi wananikubali hapa kitaa wangejua..!
Mpenyezeeni tu Kafulila kuna dili la PPP la maji Dar😁Kwani sisi ni dawasa au Wizara ya maji?
Anazingua huyo ,mama anaubonda mwingi ni vile hajui tu🤗Kwani sisi ni dawasa au Wizara ya maji?
Mimi naona kila mtu asifie tu , hakika mama anaubonda mwingi👏Tuendelee kuimba tu 🤣🤣🤣.. kosoa uone hapa sasa nimetoka kunywa supu nikakutana na vijana wa kijani nimewajaza ujinga mama anaupiga basi wananikubali hapa kitaa wangejua..!
Rudi kusoma upya?Anazingua huyo ,mama anaubonda mwingi ni vile hajui tu🤗
Ni huzuni na fezea, kama DAWASA kawe ni mzigo kabisa, mpaka washazoea kutufanyia madudu wanajua hakuna lolote litatokeaKule Afghanistan usipokuwa na plan B utasota sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Accountability ni jambo ambalo lishashindikana kwenye lile Taifa
Ndio maana hiyo katuni naipenda imegusa sehemu zote kuna podium za kanisani hapo(wachungaji), gitaa wanamuziki, mpira kina karia hersi etc, kispika cha msikitini, social networks kina sie n.kMimi naona kila mtu asifie tu , hakika mama anaubonda mwingi👏
Mama yupo vizuri mno aseeRudi kusoma upya?
😆😆 we ni moja ya wale vijana mzigo msiokua na mchango kwenye taifa hili. Ukiacha kodi inayolipwa na wafanyabiashara ambao baadhi ndio wakwepa kodi unaowarefer hapa, kila mtu analipa kodi, kwenye kila unachonunua unalipa kodi, kama umeajiriwa unakatwa hela ndefu kweli kwaajili ya kodi, nk, kufund miradi mbalimbali ya maendeleo na kulipa hata misharaha ya wadumu hawa, nk... unastahili kupata kilicho bora.Kila mtu analipa kodi wapi bana, wakati ni wakwepaji kodi wazuri,kama maji inalipiwa,lipia ya kwenye madumu yanayosambazwa kwa toroli
Noma sana, ngoja tupige kelele kwanza bado kuna matumaini🥲Ukiona hauwezi kushindana nao ungana nao, nikiripoti kutokea tandahimba. nasemaje, mama anaubonda mwingi🤗
Ona hii mbuzi, unakuwa chawa hadi unasaliti wenzako! Useless kabisa🤦♀️Kwani sisi ni dawasa au Wizara ya maji?
Kwanza nyie watu wa Dar mnatakiwa msipate maji kabisa maana mlikataa tozo ya miamala Ili Serikali ilete maji komeno hivyo hivyo
Pumbavu,nimsaliti nani? Mijitu ya Dar hivyo sana nyie ,komeni Sasa na Bado kulivyo na joto mtajua hamjui.Ona hii mbuzi, unakuwa chawa hadi unasaliti wenzako! Useless kabisa🤦♀️
Mkuu, kodi tunazolipa kazi yake ni nini?Kwani sisi ni dawasa au Wizara ya maji?
Kwanza nyie watu wa Dar mnatakiwa msipate maji kabisa maana mlikataa tozo ya miamala Ili Serikali ilete maji komeno hivyo hivyo
Buhahahaa ni hizo af 7 ndio zinawafanywa mrukwe na akili mpaka muuze utu wenu🤣🤣😆😆 na maji yameanza kutoka pyeee japokuwa yanatoka ka mkojo wa mtoto na ni machafu, washafinywa huko juuPumbavu,nimsaliti nani? Mijitu ya Dar hivyo sana nyie ,komeni Sasa na Bado kulivyo na joto mtajua hamjui.
Hamtaki kulipa tozo mnadhani Serikali itatumia makamasi yenu kuleta maji?
Ndio mkuuBuhahahaa ni hizo af 7 ndio zinawafanywa mrukwe na akili mpaka muuze utu wenu🤣🤣😆😆 na maji yameanza kutoka pyeee, washafinywa huko juu
Siku 4 mnalia maji huko Tabata MajiChumvi inaweza ipigwe hata wiki au wiki 2 maji hakuna na fresh tu na hio sio kwamba hawana maua ya kumwagiliaKweli siku nne
Ndio mpige kelele wajue mnakosa huduma, mkikaa kimya inaonekana hakuna shida mmeridhika na hudumaSiku 4 mnalia maji huko Tabata MajiChumvi inaweza ipigwe hata wiki au wiki 2 maji hakuna na fresh tu na hio sio kwamba hawana maua ya kumwagilia