KERO Siku ya 4 Mbezi Beach hatuna maji, mpaka sasa hatupewi majibu ya kuridhisha hali inazidi kuwa tete. Si mje mng'oe na hizi mita zenu tujue moja

KERO Siku ya 4 Mbezi Beach hatuna maji, mpaka sasa hatupewi majibu ya kuridhisha hali inazidi kuwa tete. Si mje mng'oe na hizi mita zenu tujue moja

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mkuu una ubongo kweli huko kichwani? Kwani haya maji kwa mfano tunapewa bure? Kila mtu analipa kodi, anastahili kupata huduma bora.... unatuambia upuuzi gani hapa?🙄🙄
Kila mtu analipa kodi wapi bana, wakati ni wakwepaji kodi wazuri,kama maji inalipiwa,lipia ya kwenye madumu yanayosambazwa kwa toroli
 
Tuendelee kuimba tu 🤣🤣🤣.. kosoa uone hapa sasa nimetoka kunywa supu nikakutana na vijana wa kijani nimewajaza ujinga mama anaupiga basi wananikubali hapa kitaa wangejua..!
Mimi naona kila mtu asifie tu , hakika mama anaubonda mwingi👏
 
Kule Afghanistan usipokuwa na plan B utasota sana[emoji23][emoji23][emoji23]

Accountability ni jambo ambalo lishashindikana kwenye lile Taifa
Ni huzuni na fezea, kama DAWASA kawe ni mzigo kabisa, mpaka washazoea kutufanyia madudu wanajua hakuna lolote litatokea
 
Kila mtu analipa kodi wapi bana, wakati ni wakwepaji kodi wazuri,kama maji inalipiwa,lipia ya kwenye madumu yanayosambazwa kwa toroli
😆😆 we ni moja ya wale vijana mzigo msiokua na mchango kwenye taifa hili. Ukiacha kodi inayolipwa na wafanyabiashara ambao baadhi ndio wakwepa kodi unaowarefer hapa, kila mtu analipa kodi, kwenye kila unachonunua unalipa kodi, kama umeajiriwa unakatwa hela ndefu kweli kwaajili ya kodi, nk, kufund miradi mbalimbali ya maendeleo na kulipa hata misharaha ya wadumu hawa, nk... unastahili kupata kilicho bora.

Tutolee huu upuuzi unaropoka hapa
 
Kwani sisi ni dawasa au Wizara ya maji?

Kwanza nyie watu wa Dar mnatakiwa msipate maji kabisa maana mlikataa tozo ya miamala Ili Serikali ilete maji komeno hivyo hivyo
Ona hii mbuzi, unakuwa chawa hadi unasaliti wenzako! Useless kabisa🤦‍♀️
 
Ona hii mbuzi, unakuwa chawa hadi unasaliti wenzako! Useless kabisa🤦‍♀️
Pumbavu,nimsaliti nani? Mijitu ya Dar hivyo sana nyie ,komeni Sasa na Bado kulivyo na joto mtajua hamjui.

Hamtaki kulipa tozo mnadhani Serikali itatumia makamasi yenu kuleta maji?
 
Kwani sisi ni dawasa au Wizara ya maji?

Kwanza nyie watu wa Dar mnatakiwa msipate maji kabisa maana mlikataa tozo ya miamala Ili Serikali ilete maji komeno hivyo hivyo
Mkuu, kodi tunazolipa kazi yake ni nini?
Waondoe kodi zote mbadala iwe tozo.
 
Pumbavu,nimsaliti nani? Mijitu ya Dar hivyo sana nyie ,komeni Sasa na Bado kulivyo na joto mtajua hamjui.

Hamtaki kulipa tozo mnadhani Serikali itatumia makamasi yenu kuleta maji?
Buhahahaa ni hizo af 7 ndio zinawafanywa mrukwe na akili mpaka muuze utu wenu🤣🤣😆😆 na maji yameanza kutoka pyeee japokuwa yanatoka ka mkojo wa mtoto na ni machafu, washafinywa huko juu
 
Siku 4 mnalia maji huko Tabata MajiChumvi inaweza ipigwe hata wiki au wiki 2 maji hakuna na fresh tu na hio sio kwamba hawana maua ya kumwagilia
Ndio mpige kelele wajue mnakosa huduma, mkikaa kimya inaonekana hakuna shida mmeridhika na huduma
 
Back
Top Bottom