Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji ndio kila kitu, kama mahali hakuna maji safi hapo ni mahali pa hovyo binadamu kuishi.Mkuu unataka asitambe hata kama tuna changamoto🥲
Mitano tenaWakuu,
Msione kila siku napiga kelele mkadhani nazingua, leo naweka baadhi ya screenshot muone majibu ya DAWASA ya kipuuzi na wananchi tunavyolilia huduma utafikiri tunaipata bure!
Kweli siku nne afu kila siku tunajibiwa maji yanasukumwa yatafika presha imeongezeka na hatupati hata tone. Siku 4, Wizara ya Maji mnatukosea sana.
Majibu ni haya haya kwa siku 4 mfululizo, Aweso hayo maji ulisema yapo ya kutosha Dar yako wapi, siku 4 watu tunakaa bila maji mpaka yunaingia gharama ya kuagiza kwenye magari?
Aaah weee, kila leo naona vilio vya changamoto ya maji, itakua upo kwa wakubwa Mkuu... Wizara ya Maji maeneo mengi ni majipuMwanza
NdiyoNakuuliza tena, kuna watu hawastahili kukaa Mbezi?
Sio mtano tu , tubadilishe katiba awe wa kudumu kabisa.Mitano tena
Haitakiwi kuwa hivi, na unawanyima haki ambao hawana matenki ya kuhifadhi kiasi kikubwa... huu ni ubinafsiUsituchafue.
Ni ishu ya kujiongeza tu, tulio na makaro au matank hatuna habari na shida ya maji.
Yakitoka tunajaza karo/tank hadi yatakapokatika then inabaki kujipakulia tu
HahahaSio mtano tu , tubadilishe katiba awe wa kudumu kabisa.
Ni huzuni🥲Maji ndio kila kitu, kama mahali hakuna maji safi hapo ni mahali pa hovyo binadamu kuishi.
Mama kafungua nchi apewe maua yake.Mama mama mama mama ni mama🤗
Acha hizo Mkuu Wizara ya Maji mnaona tunavyokejeliwa sababu ya uzembe wenu?!Mitano tena
Utakuwa unafikiria pia kuna huduma ambazo mtu hastahili kupata, kajielimishe tena haki na wajibu wako kama raia afu urudi tena kucomment... nina imani haitakuwa mashudu tenaNdiyo
Kabisa yani , hakuna haja ya kwenda ulaya, Tanzania ni kama ulaya tu👏Mama kafungua nchi apewe maua yake.
Mkuu usitumie kipaza sauti, wanaweza kukusikia wakafanya kweli😩😩Sio mtano tu , tubadilishe katiba awe wa kudumu kabisa.
Dah Wakuu, Wizara ya Maji tumieni basi hata huu uchawa mtuletee huduma bora🥲Mama kafungua nchi apewe maua yake.
Mkuu usirumie kipaza sauti, wanaweza kukusikia wakafanya kweli😩😩
Sasa hela huna unategemea upate huduma zote!?Utakuwa unafikiria pia kuna huduma ambazo mtu hastahili kupata, kajielimishe tena haki na wajibu wako kama raia afu urudi tena kucomment... nina imani haitakuwa mashudu tena
Nikitaka kamati ya majungu ntakuwa nakukumbuka Mkuu😆😆Kabisa yani , hakuna haja ya kwenda ulaya, Tanzania ni kama ulaya tu👏
Mkuu una ubongo kweli huko kichwani? Kwani haya maji kwa mfano tunapewa bure? Kila mtu analipa kodi, anastahili kupata huduma bora.... unatuambia upuuzi gani hapa?🙄🙄Sasa hela huna unategemea upate huduma zote!?
Kule Afghanistan usipokuwa na plan B utasota sana[emoji23][emoji23][emoji23]Haitakiwi kuwa hivi, na unawanyima haki ambao hawana matenki ya kuhifadhi kiasi kikubwa... huu ni ubinafsi
Kwahiyo kuwa na makaro ndio hamna changamoto wakati mnatumia hifadhi[emoji1787][emoji1787][emoji38] kazi kweli kweli