KERO Siku ya 4 Mbezi Beach hatuna maji, mpaka sasa hatupewi majibu ya kuridhisha hali inazidi kuwa tete. Si mje mng'oe na hizi mita zenu tujue moja

KERO Siku ya 4 Mbezi Beach hatuna maji, mpaka sasa hatupewi majibu ya kuridhisha hali inazidi kuwa tete. Si mje mng'oe na hizi mita zenu tujue moja

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wakuu,

Msione kila siku napiga kelele mkadhani nazingua, leo naweka baadhi ya screenshot muone majibu ya DAWASA ya kipuuzi na wananchi tunavyolilia huduma utafikiri tunaipata bure!

Kweli siku nne afu kila siku tunajibiwa maji yanasukumwa yatafika presha imeongezeka na hatupati hata tone. Siku 4, Wizara ya Maji mnatukosea sana.

Majibu ni haya haya kwa siku 4 mfululizo, Aweso hayo maji ulisema yapo ya kutosha Dar yako wapi, siku 4 watu tunakaa bila maji mpaka yunaingia gharama ya kuagiza kwenye magari?
Mitano tena
 
Usituchafue.

Ni ishu ya kujiongeza tu, tulio na makaro au matank hatuna habari na shida ya maji.

Yakitoka tunajaza karo/tank hadi yatakapokatika then inabaki kujipakulia tu
Haitakiwi kuwa hivi, na unawanyima haki ambao hawana matenki ya kuhifadhi kiasi kikubwa... huu ni ubinafsi

Kwahiyo kuwa na makaro ndio hamna changamoto wakati mnatumia hifadhi🤣🤣😆 kazi kweli kweli
 
Mkuu usirumie kipaza sauti, wanaweza kukusikia wakafanya kweli😩😩
downloadfile-37.jpg
 
Utakuwa unafikiria pia kuna huduma ambazo mtu hastahili kupata, kajielimishe tena haki na wajibu wako kama raia afu urudi tena kucomment... nina imani haitakuwa mashudu tena
Sasa hela huna unategemea upate huduma zote!?
 
Sasa hela huna unategemea upate huduma zote!?
Mkuu una ubongo kweli huko kichwani? Kwani haya maji kwa mfano tunapewa bure? Kila mtu analipa kodi, anastahili kupata huduma bora.... unatuambia upuuzi gani hapa?🙄🙄
 
Haitakiwi kuwa hivi, na unawanyima haki ambao hawana matenki ya kuhifadhi kiasi kikubwa... huu ni ubinafsi

Kwahiyo kuwa na makaro ndio hamna changamoto wakati mnatumia hifadhi[emoji1787][emoji1787][emoji38] kazi kweli kweli
Kule Afghanistan usipokuwa na plan B utasota sana[emoji23][emoji23][emoji23]

Accountability ni jambo ambalo lishashindikana kwenye lile Taifa
 
Back
Top Bottom