Siku ya aibu!!

Siku ya aibu!!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Siku ya kukutana memba wa MMU,siku hii itakapofika wapo watakaoingia mitini hasa ile midume yenye ID za kike,itaogoga aibu pale itakapotakiwa kujitambulisha,lijamaa lina midevu litakaposema "mimi ndo ......."natamani iwe kesho!!
 
Inawezekana wakawa proud na majina hayo ya kike mzee, huoni midume mingine inakubali kuitwa aunt na ina-enjoy vitendo vya kishoga?
 
Mkuu....mbona wana MMU tulishakutana Arusha na ilikuwa burudani tosha....na kikao kilibarikiwa na mkuu Maxence maana na yeye alikuwepo ndani ya nyumba......ni maamuzi tu
 
Hii ni part 2 halafu ya ukweli zaidi!Live kwenye tv fulani halafu ya wazi zaidi nchi nzima,mpaka wajukuu wa Aspirin watamuona babu yuleeeeeeee!!
 
Mkuu....mbona wana MMU tulishakutana Arusha na ilikuwa burudani tosha....na kikao kilibarikiwa na mkuu Maxence maana na yeye alikuwepo ndani ya nyumba......ni maamuzi tu

Duh.....huwa nakutana nao reja reja,preta siku nyingine mnialike.
 
Itakuwa safi sana siku hiyo ikifika!
 
Kwani watu watalazimishwa kujitambulisha kwa ID wanazotumia hapa?! Tukikutana nikwambie naitwa Kabizaolenikungamylojaqitedorixop... utakataaa?!
 
Duh.....huwa nakutana nao reja reja,preta siku nyingine mnialike.

usikonde mwana......kuna mpango wa kwenda Shelisheli kwa ajili ya holiday kwa members wa JF.....we andaa bukta ya kuogelea....mi nshanunua swimming suit ya chuichui
 
Yale majina ya humu jamvini yatakuwa ni siri zetu manake ikiwa ni lazima kila mtu ajitambulishe kwa haya majina ya humu, mahudhurio yatakuwa kidogo sana.
 
Poa wangu...ninayo tayari.duh,i cant wait to see you in.......
 
Yale majina ya humu jamvini yatakuwa ni siri zetu manake ikiwa ni lazima kila mtu ajitambulishe kwa haya majina ya humu, mahudhurio yatakuwa kidogo sana.

Ha ha ha,God bell you are so funny!
 
Kwani watu watalazimishwa kujitambulisha kwa ID wanazotumia hapa?! Tukikutana nikwambie naitwa Kabizaolenikungamylojaqitedorixop... utakataaa?!
ID yako ndo itakuwa access code yako!!
 
Back
Top Bottom