Siku ya aibu!!

Siku ya aibu!!

Siku hiyo unaweza kugundua ulimtokea dada yako bila kujua
 
Kuna watu ambao nina hamu yakuwaona! Naimagine watakuwa wanafananaje
 
Hata jana tulikuta; Abadan kukutana wengi kwa pamoja mara moja kwa siku moja, ila angalao kila siku tunakutana wawili wawili ili mradi siku zinasonga mbele, jana nilikuta na mwenzangu mwana JF mmoja na wiki iliyopita pia nilikuna na mwingine hivyo hivyo mwisho tutakutana wote.
 
probably the new jf i know.....!

eti pretta nackia we ni mod?
 
Tena wewe ni mmoja wao...I can't imagine!!
Owkey mi kibonge kidogo...sio mrefu wala mfupi...maji ya kunde...macho makubwa...nywele nimesokota rasta...mavazi yangu na pensi nyanya tu.Taja wengine nikusaidie!
 
Owkey mi kibonge kidogo...sio mrefu wala mfupi...maji ya kunde...macho makubwa...nywele nimesokota rasta...mavazi yangu na pensi nyanya tu.Taja wengine nikusaidie!
Mhhhhh natoa shilingi!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mimi nitasikia fresh sana kumuona m2 kama FF, MS nawengine wengi.
 
Kutakuwepo na ulazima wa watu kujitambulisha kwa id zao?
Hiyo geti tugeza imepangwa kufanyika lini wajameni?
 
Hahahahaha! Mnamkuta husninyo kibibi kinatembelea mkongojo na ugoro wake kwenye rambo.lol.
 
Inaonekana humu waongo wengi sana,maana suala la ID hawalitaki kabisa,bahati mbaya milango ya kuingia itakuwa ya kielektroniki zaidi na ID yako ndo itakuwa akses yako!Mtakomaje!!!!
 
Back
Top Bottom