Siku ya aibu!!

Siku ya aibu!!

Hata jana tulikuta; Abadan kukutana wengi kwa pamoja mara moja kwa siku moja, ila angalao kila siku tunakutana wawili wawili ili mradi siku zinasonga mbele, jana nilikuta na mwenzangu mwana JF mmoja na wiki iliyopita pia nilikuna na mwingine hivyo hivyo mwisho tutakutana wote.
Hii ni MMU yote!!
 
usikonde mwana......kuna mpango wa kwenda Shelisheli kwa ajili ya holiday kwa members wa JF.....we andaa bukta ya kuogelea....mi nshanunua swimming suit ya chuichui
deh🙂🙂 FF kama atakuwepo mimi nitalipa kila kitu na bikini za aina tofauti nitamnunulia
 
Owkey mi kibonge kidogo...sio mrefu wala mfupi...maji ya kunde...macho makubwa...nywele nimesokota rasta...mavazi yangu na pensi nyanya tu.Taja wengine nikusaidie!
Ooooh..mbona umemaliza uhondo wote sasa! Nilitaka iwe supprise!
 
Nakuandaa usije ukapatwa na presha bureeee....
Hapo umenifanya niwe na hamu ya kujua kama yote uliyotaja hapo ni ya kweli! Hiyo siku sijui inakuja lini!!!!!
 
MmmhhhWe si hunitaki tena siku hizi...Haya na mi nakupa muda...
hamna..kuna mtu alinitumia pm kunitisha ndio maana nika coll down kwanza kuangalia speed zake kwako..nimeona mtu mwenyewe ni butu ...nimekuja kwa speed ya 120
 
haya vua hicho ulichovaa au hadi nikuvue? Yaani nikuvue, nikuogeshe, nikupake mafuta, halafu nikuvishe? Hehee im drooling at the opportunity
Na bado hujanibeba kwenda na kutoka bafuni.Au nimrushie Ivuga hii offer.....!
 
Back
Top Bottom