Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni part 2 halafu ya ukweli zaidi!Live kwenye tv fulani halafu ya wazi zaidi nchi nzima,mpaka wajukuu wa Aspirin watamuona babu yuleeeeeeee!!Mkuu....mbona wana MMU tulishakutana Arusha na ilikuwa burudani tosha....na kikao kilibarikiwa na mkuu Maxence maana na yeye alikuwepo ndani ya nyumba......ni maamuzi tu
Mkuu....mbona wana MMU tulishakutana Arusha na ilikuwa burudani tosha....na kikao kilibarikiwa na mkuu Maxence maana na yeye alikuwepo ndani ya nyumba......ni maamuzi tu
Duh.....huwa nakutana nao reja reja,preta siku nyingine mnialike.
usikonde mwana......kuna mpango wa kwenda Shelisheli kwa ajili ya holiday kwa members wa JF.....we andaa bukta ya kuogelea....mi nshanunua swimming suit ya chuichui
Yale majina ya humu jamvini yatakuwa ni siri zetu manake ikiwa ni lazima kila mtu ajitambulishe kwa haya majina ya humu, mahudhurio yatakuwa kidogo sana.
Poa wangu...ninayo tayari.duh,i cant wait to see you in.......