Hii ni MMU yote!!Hata jana tulikuta; Abadan kukutana wengi kwa pamoja mara moja kwa siku moja, ila angalao kila siku tunakutana wawili wawili ili mradi siku zinasonga mbele, jana nilikuta na mwenzangu mwana JF mmoja na wiki iliyopita pia nilikuna na mwingine hivyo hivyo mwisho tutakutana wote.
deh🙂🙂 FF kama atakuwepo mimi nitalipa kila kitu na bikini za aina tofauti nitamnunuliausikonde mwana......kuna mpango wa kwenda Shelisheli kwa ajili ya holiday kwa members wa JF.....we andaa bukta ya kuogelea....mi nshanunua swimming suit ya chuichui
nimekumiso jamaniiiiiHahahahaha
Eiyer bana.....
lazimaKutakuwepo na ulazima wa watu kujitambulisha kwa id zao?
Hiyo geti tugeza imepangwa kufanyika lini wajameni?
Ooooh..mbona umemaliza uhondo wote sasa! Nilitaka iwe supprise!Owkey mi kibonge kidogo...sio mrefu wala mfupi...maji ya kunde...macho makubwa...nywele nimesokota rasta...mavazi yangu na pensi nyanya tu.Taja wengine nikusaidie!
Nakuandaa usije ukapatwa na presha bureeee....Ooooh..mbona umemaliza uhondo wote sasa! Nilitaka iwe supprise!
akicheka ana mwanya ..akigeuka utadhani kazi ya mchina ...Nakuandaa usije ukapatwa na presha bureeee....
kaoge hukoNakuandaa usije ukapatwa na presha bureeee....
Usiogope EiyerMimi ni mdada na sina ID nyingine....Hayaaa tissue hii hapa futa chozi basiAsante ..Angalia usiwe mmoja wao nitalia AD!!
Hapo umenifanya niwe na hamu ya kujua kama yote uliyotaja hapo ni ya kweli! Hiyo siku sijui inakuja lini!!!!!Nakuandaa usije ukapatwa na presha bureeee....
MmmhhhWe si hunitaki tena siku hizi...Haya na mi nakupa muda...nimekumiso jamaniiiii
Njoo uniogeshe!!kaoge huko
Hahahha....nomaa!akicheka ana mwanya ..akigeuka utadhani kazi ya mchina ...
Kweli tupu....Hapo umenifanya niwe na hamu ya kujua kama yote uliyotaja hapo ni ya kweli! Hiyo siku sijui inakuja lini!!!!!
haaaaaaaaaa!!!Njoo uniogeshe!!
hamna..kuna mtu alinitumia pm kunitisha ndio maana nika coll down kwanza kuangalia speed zake kwako..nimeona mtu mwenyewe ni butu ...nimekuja kwa speed ya 120MmmhhhWe si hunitaki tena siku hizi...Haya na mi nakupa muda...
haya vua hicho ulichovaa au hadi nikuvue? Yaani nikuvue, nikuogeshe, nikupake mafuta, halafu nikuvishe? Hehee im drooling at the opportunityNjoo uniogeshe!!
Naomba jioni na mimi nikuogeshe mwaya.ninalo dodokiNjoo uniogeshe!!
Hahhahaha!Acha umbea!haaaaaaaaaa!!!siku nzuri inavyoanza,wewe mwenyewe utaoina, siku nzuri inavyoanza, wewe mwenyewe utaionaaaa,to NN
Na bado hujanibeba kwenda na kutoka bafuni.Au nimrushie Ivuga hii offer.....!haya vua hicho ulichovaa au hadi nikuvue? Yaani nikuvue, nikuogeshe, nikupake mafuta, halafu nikuvishe? Hehee im drooling at the opportunity