Siku ya Gulio la Jamiiforums. Wake kwa Waume msikose kuhudhuria.Njoo hata kama umetundukiwa Drip

Usisahau kulipia Jina JF kwa kutengeneza faida. Ila wazo zuri. Nadhani Mods wataliona ili watumie fursa kuingiza kiasi kidogo cha Mboga.
 
Hahahaaaa nilikisoma hicho hahahaaa mpaka sasa sijajua maana ya katerero
 
WADAU WA MIKOANI TUTAONANA SIKU YA WAKULIMA 8/8 tutagawa Makundi..huko huko kwenye mabanda ya maonesho ya kilimo msisahau kuja mmevaa vibwaya. Mliokuwa tu mnatusikia na kutuona kwenye TV tutakuja mtuone LIVE . akina dada jiwekeni vizuri muwe katika nyakati zenu nzuri.msije mkaja kulalamika wanaume wa Dar wanadharau.
Wengine hatupo huko dar
 
Na sisi tulioko mbwinde?!
Ndio kabisa ila wanapadharau
Ila mikoani kwetu pazuri bwana
Ngoja wengine tubaki tu huku wanapopaita mkoani
Tunaokaa Ikwiriri,Kilosa na Kibiti tutakutana lini?
Wengine hatupo huko dar
 
WADAU WA MIKOANI TUTAONANA SIKU YA WAKULIMA 8/8 tutagawa Makundi..huko huko kwenye mabanda ya maonesho ya kilimo msisahau kuja mmevaa vibwaya. Mliokuwa tu mnatusikia na kutuona kwenye TV tutakuja mtuone LIVE . akina dada jiwekeni vizuri muwe katika nyakati zenu nzuri.msije mkaja kulalamika wanaume wa Dar wanadharau.

Mhhhhh! hizi mada za kujuana juana humu siku hizi zimekuwa nyingi...
Kazi kwenu wanaume/wanawake wa daresalama.
Mmh. Hongereni zimebaki siku 07.
Msisahau kuombana assist za live live.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…