Siku ya kuzaliwa Rais inapogeuzwa sikukuu ya kitaifa

Watu wanaangalia namna ya kupiga fedha bila kuhojiwa. Not knowing Mama anaharibiwa na watu waliomzunguka.
 
Nje ya mada wakuu. Hivi huyu mzee wa hovyo tlaatlaah yuko wapi siki mbili hizi, kuna aliyemuona huko maana mada hizi yuko kimya mno nina wasi. Anaumwa au kasusa?
 
Wakati SSH anachukua unahodha,niliamini kabisa kuwa "project chawa" itakufa kibudu kwani niliamini ilikuwa ni project ya mwendazake, cha ajabu ni kuwa miaka hii mitatu uchawa umeongeza maradufu zaidi ya miaka 5 ya jiwe.

Nimekuja hitimisha kwa tafiti na data kuwa huyu nahodha wetu ndiye anayelea uchawa na kuupalilia, maana angetaka uishe asingekubali hii hali inayoendelea nchini ya "kumunguishwa".

Kilichomgharimu jiwe ndicho kinaenda kumgharimu chura kiziwi.
 
Jiwe ndiye source ya ujinga wote
 
Kama alivyosema Lissu hataki machawa, Samia hana courage ya kuwakataa machawa
 
Lawama zote apewe jiwe kwa kujenga mfumo wa kusifiwa kupitiliza matokeo yake mama misambano nae kaiga.
 
Hatujawahi kupata rais anayepigiwa chapuo kama huyu, kuna tatizo!!.
 
Safi sana tutaelewana
 
Ushamba tu, hii inaonesha aina ya nchi tuliyonayo ilivyo na watu wa kiwango cha chini cha akili
 
Maendeleo tutaendelea kuyasikia kwa wenzetu maana waliopo kwenye nafasi za uongozi ndiyo hao hawafikirii nje ya ndoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…