Siku ya kuzaliwa Rais inapogeuzwa sikukuu ya kitaifa

Uwanja wa Nelson Mandela

Hivi South Afrika kuna uwanja wa Julius Nyerere ? Barabara ya Julius Nyerere ? Chuo cha Julius Nyerere ? Hospitali ya Julius Nyerere ?

Tuanajipendekeza kwa watu ambao wao ndo ilibidi watushukuru sisi. Mtanganyika ni mtu mwenye akili finyu sana.
 
Mambo hayo tunayaonaga kwenye nchi za kifalme tu na haya ni matokeo ya watu kupata teuzi kwa kuzingatiwa kipaumbele cha uchawa
 
Naona angalau kuna mtaa wa Nyerere
 
Nchi ya kipumbavu sana hii.
 
Poa tu kukikucha tuambizane ni mchana au asubuhi.
Sijawai kufikiria tuko wapi toka yule jamaa alipoondoka.
Naona mauzauza tu.
 
Hata kama mimi ningekuwa mshauri namba moja wa serikali ,hili swala lingefanyika tu. Kwa cheo kweli ni Rais lakini haimuondolei kuwa ni mtoto wa kike kama walivyo wengine.



MAGUFULI4LIFE.
 
Waafrika wanavituko, hii inanikumbusha yule raisi wa nchi flani Afrika..aliletaga snow feki ikulu kwaajili ya kusherekea xmass ya afrika iwe kama ulaya.

Afrika vituko haviishi.
 
ilipelekwe Bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…