Shida ni kwamba sisi wa afrika tunaanzisha biashara na mtaji kiduchu sana,ndo maana tunakuwa tunafeli mapema sana,tujifunze kwa wenzetu wa asia ambao wao wameonyesha mafanikio makubwa ktk ujasiriamali,kwa kipindi hiki kifupi ulichoanzisha biashara hukupaswa kufikiria mambo ya vifurushi n.k ..usikute na kula napo unategemea hapohapo ..biashara ni kama mtoto unapaswa uilee hata kwa mwaka ndo ufunge mahesabu,la sivyo itakupa sana mawazo,itakuendesha badala ya wewe kuiendesha yenyewe
Half time mashabiki hasa wa Vpl huwa tunapenda kuangalia uchambuzi tujue nani kabebwa na refaaHahaha nitakua half time nawawekea kidogo kina ryan conner au hata mia malkova[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkono wa biashara unakujaje hapo mzee wakati hii mambo ndo ina siku moja
Toa tu ushauri sio kukatisha tamaa
Mkuu hebu nielekeze namna ya kuchek mpira on-line through phonesShida ya Bongo network mkuu
Binafsi huu mwaka wa 2 sijaingia kibanda umiza huwa naangalia mechi kupitia simu ila siku zingineNetwork changamoto
Mkuu washabiki wafia team ndo wap hao.?Atafute mashabiki wafia timu ambao wana kelele awape ofa wawe wanaingia bure ili kuleta amshaamsha
32" kwa kibandani mkuu ni ndogo sana. Walau ilipaswa uwe na 49" au 50" ndio afadhali kidogo.Ziko mbili za inch 32
Hii akili ni safi...ila sasa uwe na simu ya maana na siyo unatumia tecnoKUNA SEHEMU NILIKUTA VIJANA WA CHUO WAMENUNUA SMART TV KWAAJILI YA KUONESHA MPIRA KWENYE KIBANDA UMIZA.
ILI KUEPUKA GHARAMA ZA DSTV WAO WANACHOKIFANYA NI KUTAFUTA CHANEL INAYOONYESHA MPIRA MTANDAONI KUPITIA SIMU KISHA WANAWASHA BLUETOOTH YA SIMU NA TV HIVYO MPIRA UNAONEKANA VIZURI TU KWENYE TV.
HAPO HATA MVUA IKINYESHA ZILE KERO ZA DISH KUSCRATCH HAZIPO LABDA MTANDAO TU ULETE SHIDA.
Kuna vibandaumiza moja ya services zao ni pamoja na kuonesha porns? Nauliza tu sababu sijawahi kuingia huko.Unaweza ukajikuta huo mtaa wako wanapenda kuangalia porn (Pilau) halafu wewe umeleta mpira!
Huwa ni kawaida kumbe?Hahaha nitakua half time nawawekea kidogo kina ryan conner au hata mia malkova[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni takribani siku moja sasa toka nifungue kibanda umiza maeneo ya hapa kijijini japo sio kijijini sana ambacho nilikipa jina la "VPN ARENA"
Nimeweka both dstv na azam bila kuchelewa nikarusha matangazo ya game ya jana ya yanga na biashara nakufanikiwa kupata wateja wanne(4) tu kwa kiasi cha jero jero.
Kwa wazoefu naombeni mawazo yenu kua kweli nitapata japo hela yakulipia kifurushi cha dstv ambacho ni 89000 compact plus na azam mwisho wa mwezi? [emoji848][emoji848][emoji848]
mkuu ongeza kingamuzi cha canal+ ambacho kwa mwezi unalipa 40,000 na big match zote mpaka uefa champions league wanaonesha ,dstv wako expensive sana 89,000 ni ndefu sana mm ninalo banda langu ninelipa jina tandale pesa ipo asikwambie mtu raia watakuja cha msingi lugha nzuri unaweza kuta kwa melwezi unapata 300,000/400,000 baada ya kutoa gharama zote jipange upate generator utakuja nishikuru usikate tamaa kbx ukafunga