Siku ya kwanza baada ya kufungua kibanda umiza

Siku ya kwanza baada ya kufungua kibanda umiza

Shida ni kwamba sisi wa afrika tunaanzisha biashara na mtaji kiduchu sana,ndo maana tunakuwa tunafeli mapema sana,tujifunze kwa wenzetu wa asia ambao wao wameonyesha mafanikio makubwa ktk ujasiriamali,kwa kipindi hiki kifupi ulichoanzisha biashara hukupaswa kufikiria mambo ya vifurushi n.k ..usikute na kula napo unategemea hapohapo ..biashara ni kama mtoto unapaswa uilee hata kwa mwaka ndo ufunge mahesabu,la sivyo itakupa sana mawazo,itakuendesha badala ya wewe kuiendesha yenyewe

Nimekuelewa mkuu
Shida ni kwamba sisi ni waafrika!!
 
Siku kukiwa hamna mpira weka movie kali sana, angalia wateja wako wanapenda nini, usisahau kuweka maji na soda, na nje weka kibanda cha chips, ikianza kukulipa fungua na sehemu nyingine na nyingine kijiji kizima na vya jirani iwe ni wewe tuu mtoa huduma

Usionyeshe porn kwenye banda lako ni laana, wala hela zake usifanyia umalaya
 
Hahaha nitakua half time nawawekea kidogo kina ryan conner au hata mia malkova[emoji23][emoji23][emoji23]
Half time mashabiki hasa wa Vpl huwa tunapenda kuangalia uchambuzi tujue nani kabebwa na refaa
 
Biashara nzuri inalipa mi game ya leo ya Darderby katka banda langu nimefunga na 120,000=
 
Kibiashara huwa siku yakwanza tunaitumia ku promote brand. Ko ulitakiwa siku yakwanza uoneshe bure na utangaze kijiji kizima kwamba kuna kumbi mpya inafunguliwa siku ya ufunguzi ni bure.

Hilo linasaidia watu kuwa wengi then wakifika wanakuta ofsn kwako kuna kitu cha tofauti na mabanda mengne hapo ndo chanzo cha kuvuta wateja na kutengeneza jina laa sivyo utaroga sana.
 
Shida ya Bongo network mkuu
Binafsi huu mwaka wa 2 sijaingia kibanda umiza huwa naangalia mechi kupitia simu ila siku zingineNetwork changamoto
Mkuu hebu nielekeze namna ya kuchek mpira on-line through phones
 
Kama hiyo sehemu uliyopo kuna banda la sports betting tafuta shughuli nyingine mkuu
 
Hcho kijiji kko busy sana nn au n kigoma huko ambako watu wanashnda mashamban,sie huku kanda ya ziwa ukianza tu maandaliz ya kujenga kbanda kila mtu anakuwa na taarifa kwahyo SKU unaanza lazima upate watu weng sana
 
Population hapo kijijini ikoje? Wapenzi wa mpira wapo? Ulifanya kautafiti kabla haujaanzisha hiyo biashara!?
 
KUNA SEHEMU NILIKUTA VIJANA WA CHUO WAMENUNUA SMART TV KWAAJILI YA KUONESHA MPIRA KWENYE KIBANDA UMIZA.
ILI KUEPUKA GHARAMA ZA DSTV WAO WANACHOKIFANYA NI KUTAFUTA CHANEL INAYOONYESHA MPIRA MTANDAONI KUPITIA SIMU KISHA WANAWASHA BLUETOOTH YA SIMU NA TV HIVYO MPIRA UNAONEKANA VIZURI TU KWENYE TV.
HAPO HATA MVUA IKINYESHA ZILE KERO ZA DISH KUSCRATCH HAZIPO LABDA MTANDAO TU ULETE SHIDA.
Hii akili ni safi...ila sasa uwe na simu ya maana na siyo unatumia tecno
 
Unaweza ukajikuta huo mtaa wako wanapenda kuangalia porn (Pilau) halafu wewe umeleta mpira!
Kuna vibandaumiza moja ya services zao ni pamoja na kuonesha porns? Nauliza tu sababu sijawahi kuingia huko.
 
Ni takribani siku moja sasa toka nifungue kibanda umiza maeneo ya hapa kijijini japo sio kijijini sana ambacho nilikipa jina la "VPN ARENA"

Nimeweka both dstv na azam bila kuchelewa nikarusha matangazo ya game ya jana ya yanga na biashara nakufanikiwa kupata wateja wanne(4) tu kwa kiasi cha jero jero.

Kwa wazoefu naombeni mawazo yenu kua kweli nitapata japo hela yakulipia kifurushi cha dstv ambacho ni 89000 compact plus na azam mwisho wa mwezi? [emoji848][emoji848][emoji848]

mkuu ongeza kingamuzi cha canal+ ambacho kwa mwezi unalipa 40,000 na big match zote mpaka uefa champions league wanaonesha ,dstv wako expensive sana 89,000 ni ndefu sana mm ninalo banda langu ninelipa jina tandale pesa ipo asikwambie mtu raia watakuja cha msingi lugha nzuri unaweza kuta kwa melwezi unapata 300,000/400,000 baada ya kutoa gharama zote jipange upate generator utakuja nishikuru usikate tamaa kbx ukafunga
 
mkuu ongeza kingamuzi cha canal+ ambacho kwa mwezi unalipa 40,000 na big match zote mpaka uefa champions league wanaonesha ,dstv wako expensive sana 89,000 ni ndefu sana mm ninalo banda langu ninelipa jina tandale pesa ipo asikwambie mtu raia watakuja cha msingi lugha nzuri unaweza kuta kwa melwezi unapata 300,000/400,000 baada ya kutoa gharama zote jipange upate generator utakuja nishikuru usikate tamaa kbx ukafunga

Kinauzwa bei gani mkuu
 
Hivi hizi game za afcon zinaonyweshwa dstv? Channel gani?
 
Back
Top Bottom