Siku ya Kwanza Gym? Fanya hivi...

Siku ya Kwanza Gym? Fanya hivi...

-Sirecommend kukimbia mara kwa mara kama una lengo la kutaka kujaza mwili, ile siku moja ya kupumzika itumie kwa kukimbia.

-Push ups ni nzuri in fact baadhi ya watu wakimaliza kufanya pull ups hupiga push ups kwanza (kwa beginner ni nzuri zaidi itampa nguvu za mikono).

-Squats ni lazima ili kubalansi mwili, lakini hatuchanganyi mazoezi na kupelekea kutengeneza kachumbari squats ni zoezi la miguu ina siku yake.

-Kuruka kamba ni aina ya cardio, siyo mbaya kuruka kwa kua ni aina ya warm up kabla haujaanza workout yako.

-Kwa mtu anayeanza na anakula ipasavyo, anakunywa maji ipasavyo na kupumzika ipasavyo matokeo ni ndani ya wiki sita. Ila pia kuna factors kama genetics na ubora wa chakula kati ya mtu na mtu.
Umeeleweka mkuu.
Noted!
 
Napendekeza baada ya muda ukizoea routine. Uongeze uzito katika kila zoezi lililoainishwa hapa.

Pia haya mazoezi yote unaweza ukatumia dumbbells tupu bila hata kutumia barbell kokote.
 
Napendekeza baada ya muda ukizoea routine. Uongeze uzito katika kila zoezi lililoainishwa hapa.

Pia haya mazoezi yote unaweza ukatumia dumbbells tupu bila hata kutumia barbell kokote.
mkuu vp hizi pushup kama za magufuli usikunje ngumi ila mguu mmoja unaupandi juu ya mguu mwingine zinasaidia nini kiongezeke mwilini
 
Nimekua nje ya gym kwa muda mkubwa, kesho naanza kuamsha.

Nikipata wasaa mzuri nitaandika namna ya kufanya mazoezi siku ya kwanza baada ya kuacha kwa muda mkubwa.

Peace
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Mkuu Castr, kwanza ahsante kwa tips nzuri.

Unazungumziaje suppliments ambazo huwa zinashauriwa kwa wapiga tizi? Mfano zipo za for ever na nyinginezo
 
Mkuu Castr, kwanza ahsante kwa tips nzuri.

Unazungumziaje suppliments ambazo huwa zinashauriwa kwa wapiga tizi? Mfano zipo za for ever na nyinginezo
Tangu nijue kuhusu supplements sijawahi kukutana na mtu anayetumia supplements za forever, hivyo siwezi kuzungumzia uthabiti wake.

Lakini kwa maoni yangu kama una uwezo wa kutumia supplements, kwanza angalia una malengo gani na mwili wako mfano kwa local gyms nyingi wanaotumia ni wale ambao wanalinda clubs kwa kua wanataka miili mikubwa kushinda mwenye lengo la kawaida.

Na supplements zingine mfano Whey Protein, Protein shakes na Amino acids hua zinatumiwa na yeyote, hizi hata mimi nashauri kama kipato kinaruhusu tumia.

NB. Jua namna bora ya kutumia, fuata taratibu zote za kutumia. Kuna watu wana vitambi na makalio makubwa huku wanabeba vyuma yote ni kutokana na kutofuata taratibu.
Epuka kuabuse hizo supplements
 
Shukrani mkuu
 
Nimekua nje ya gym kwa muda mkubwa, kesho naanza kuamsha.

Nikipata wasaa mzuri nitaandika namna ya kufanya mazoezi siku ya kwanza baada ya kuacha kwa muda mkubwa.

Peace
Shukrani mkuu kwa uzi mzuri kwa wapenda mazoezi,kwani mwili ili uwe na afya njema yakupasa ufanye mazoezi na kula mlo kamili.
Mm kuna changamoto niliyokutana nayo gym na imepelekea kuacha haya mazoezi ya kunyanyua vitu vizito yapata mwaka ss.Nilianza mazoezi hya nikiwa bado na umri mdogo yapata miaka 16 tu,na nilikuwa nafanya kienyeji enyeji kwa kunyanyua uzito usiokuwa na uzito wa kuwiana(nikikuwa natunia dongo,yaan nilikuwa nakipimo cha kopo la rangi,sado,na nusu ndoo unatengeneza zege then unapa uzito).
Wakat nafanya kipindi chote hyo mabadiliko yalikuwa madogo naona ilitokana na mwili wangu kuwa mwembamba,ila nilipofika 18yrs nikaanza serios kwa kunyanyya vyuma vilivyopimwa.Ila nikawa napata matokeo hasi yaan najaa upande hii ilitokana naona na kuelemea upande mmoja kwan mkono wangu wakusho ulikuwa hauna nguvu sana kama huu wa kulia.
Hali hii ilipelekea nikawa na musce imbalance yan kwenye mkono na kifua upande wa kushoto.Huwa haionekani labda mpaka mtu uniangalie kwa mda mrefu ndo utajua hyo tofauti,hali hyo ilinifanya kuacha hayo mazoezi kwa kuogopa tatzo kuendelea kuwa kubwa.
Je kwa uzoefu wako ushakutana na changamoto kama hii? Na vp naweza kutatua hli tatzo kwan linaninyima raha sana ya kufanya mazoezi haya kwa kuogopa kuendelea kwa tatzo.
 
Back
Top Bottom