Siku ya kwanza huyu mtangazaji nilihisi mwanaume

Siku ya kwanza huyu mtangazaji nilihisi mwanaume

Acha tu huyu Bibi alinifanya ninunue radio mwaka 1997 nikiwa mdogo tu ili nisikilize dw mjin Colon
 
Anaponyanyua mkono ndio anatoa ishara gani? Debruine huvanya hivyo akitaka kupiga kona
 
Yuko wapi yule mcongo aliyekuwa anatangaza idhas ya kiswahili DW jean Francois kisimba jamaa alikuwa na lafudhi nzuri y kupendeza ya kikongo kwenye kiswahili.
 
Dahhh kuna mwamba mmoja pale DW anaitwa iddi sessanga, jamaa yule ana sauti ya utangazaji bhan!
 
Back
Top Bottom