Siku ya kwanza kuamkia kwenye nyumba yako, furaha yake usipime!

Furaha ya nyumba mke....kuna watu wameamia Kwenye majumba yao lakini baada ya siku kadhaa wamezkimbia nyumba zao wamerudi kupanga tuu...kisa gubu la mke

Hongera mkuu kama mke nae yupo vzuri furaha yake inaongezeka mara dufu
 
Pole sana Mkuu. Kisa chako kinasikitisha ingawa hujakielezea vizuri.
 
Hahahaha!!!

Kingine ile harufu mpya mpya ya nyumba inayonukia. Kingine ile nyumba mpya na vitu vipya ndani ya nyumba.

Halafu ukimuangalia mkeo na watoto jinsi walivyo na furaha. Ni kweli ulichokinadi, unanenepa kabisa.
Ile harufu huwa inaishaga na kujamba.
 
Mbona Ni Mambo ya kawaida Sana hayo
Au Mimi ndo sijui dunia ilipo
 
Hongera zako Mkuu. Ni stage kubwa mno hiyo na unapoifanikisha kwa hatua yeyote ile huna budi kumshukuru aliye juu.

Kwani si wote wanafanikiwa kuufikia uhalisia walio wengi wanajenga maghorofa na nyumba mawazoni tu.

Ziwafikie kwa kweli.
Ila kipindi cha mvua baba wenye gari ndio uwa juu mawinguni πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…