Siku ya kwanza kuamkia kwenye nyumba yako, furaha yake usipime!

Siku ya kwanza kuamkia kwenye nyumba yako, furaha yake usipime!

Hamna siku niliyohuzunika kama ile niliyoota usiku nipo kwenye mjengo wangu lakini nilipostuka nipo pale pa siku zote kwenye nyumba ya kupanga
 
Habari ndugu,

Baada ya kukuru kakara za kupanga nyumba mbalimbali hapa jijini Dar es Salaam kwa miaka 5 hatimae nikafanikiwa kujenga nyumba yangu...

Yaani mkuu unavyoipambania CCM humu jukwaani, nikajua na wewe utakuwa na mjengo huko Masaki au Obay ambapo wana CCM wenzako wanaishi!

Ila hongera kama umeweza kuzikusanya Lumumba ukapata mjengo! Kesho niko hapo niombe usajiri!
 
Ukiamkia kwenye nyumba yako, hata kama haijaisha vizuri (mfano dirishani umeweka manailoni) unakuwa una furaha kwakweli!
 
Back
Top Bottom