Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani yeye kuhamia kwake ww unateseka mkuu?
Mkuu,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh kujenga kitu kimoja, kujaza nyumba kitu kingine....ni noma! Halafu nyumba mpya ndio inakuonesha vitu vyako vimechakaa!Hongera Baba mwenye numba mpya.
Mimi siku ya kwanza milifunga spika kubwa ya Bose na kupiga reggae dancehall kali sana...
ππππππ πππ€£πππMjini Kuna Baba Mwenye Nyumba.... Na pia Mama Mwenye Nyumba.... Wapo.
Mambo ni 50/50π€ͺπ
Nipo Nyonyo Wangu π₯°ππππππππ πππ€£πππ
Win Win Situation!! Upo? Nyonyo!!
Una miaka mingap? Unasoma?Hakuna kitu kinaumiza kama kuishi kwa ndugu, naamini ipo siku nami nitakuwa na kwangu.
Nna 25, nimemaliza UDOM mwaka 2020 diploma.Una miaka mingap? Unasoma?
Fanya jambo, mwanao nianze kujitegemea mkuu
hahahaha we jamaarejesho linakunyima usingizi
Mungu akupe makazi yakoHakuna kitu kinaumiza kama kuishi kwa ndugu, naamini ipo siku nami nitakuwa na kwangu.
Amen πππMungu akupe makazi yako
Habari ndugu,
Baada ya kukuru kakara za kupanga nyumba mbalimbali hapa jijini Dar es Salaam kwa miaka 5 hatimae nikafanikiwa kujenga nyumba yangu...