Siku ya kwanza kuingia shule ya bweni ya Serikali

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aisee ulitishaa
 
Ulisoma Kibaha ukiwa umechelewa. Zamani Kibaha ilikuwa inaongoza kwa uzuri. Wali/nyama kilikuwa kitu cha kawaida. Magodoro tulikuwa tuyakuta shuleni. Wanafunzi tulikuwa hatuendi shuleni na magodoro.
 
Mpaka nafika magodoro tulikua tunapewa ila ujinga ni huo ugali
Ulisoma Kibaha ukiwa umechelewa. Zamani Kibaha ilikuwa inaongoza kwa uzuri. Wali/nyama kilikuwa kitu cha kawaida. Magodoro tulikuwa tuyakuta shuleni. Wanafunzi tulikuwa hatuendi shuleni na magodoro.
 
Siliza wimbo wa Jide,natamani kuwa kama mtoto..............................
 
Longido secondary😀😀😀😀😀 maisha yalikuwa amaizing sana. Siku nafika ilikuwa jumapili ya mwisho wa mwezi ambapo huwa na ibada ya jumla ya wakristo wote (UKWALO) nikaenda nikakuta unapigwa wimbo wa dini lakini nyuma wanafunzi wanabambiana kama wapo disco. Siku hiyohiyo, ndoo yangu nilikuwa nimeweka vitu, nilipovitoa tu ilipotea ghafla na sikuwahi kuiona tena.
Siku chache baadaye mimi na waskaji wawili tukakutana na kisanga cha kuwatukana scout, mlinzi seth alitupigisha kwata sio kawaida😀😀😀😀
 
Chakula cha ugali na maharage(yenye wadudu), kilikuwa ni zaidi ya adhabu ya viboko kwangu.

Sitosahau...
 
Nimekumbuka ugali na maparachichi umbwe secondary...nimejifunza maisha sana kusoma 1-6 govt schools...
Aisee hata mimi umenikumbusha Lyamungo,kitu cha maharage unachanganya na parachichi!ilikua inasaidia sana aisee!
 
kama wewe ni Me,hiyo shule itakuwa Songea Boys aka Box 2
 
Form two kama sikosei Tulikuwa tuna mtindo wa kuiba sukari siku moja Dada Mkuu akanibamba wenzangu wakakimbia.

Dada Mkuu akaniambia nakupa adhabu chagua nikupeleke kwa Walimu ufukuzwe shule? au uniache nifanye mimi navyotaka?

Nikamuambia asiseme kwa mwalimu basi akanisogelea alafu akanishika shika dushe 🤣

Akaniambia ole wangu nimuambie mtu. Toka siku hiyo kila akijisikia ananibana kwenye kona anafanya mambo yake na mie nikawa naunga mkono juhudi 🤣

Akawa Demu wangu hadi alivyomaliza shule.

Ki ukweli madem wa shule walikuwa wananizimia sana sijui ilikuwa kwa sababu ya ushombe shombe 🤣

Baada ya yeye kusepa niliwafyagia sana.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aisee ilikuwa balaa...hukumpa mimba mkuu???
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aisee ilikuwa balaa...hukumpa mimba mkuu???

Sikumpa mkuu nadhani hatakuwa alikuwa anajua masiku yake maana alikuwa juu yangu Kidarasa.

Maana yeye mwenyewe ndo alikuwa ananishurutisha kwa kifupi nilikuwa kama mateka ingawa nilikuwa naenjoy baadae.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aisee itakuwa alikuwa anawaadithia baadhi ya marafiki zakee na kama ulikuwa unamsukumia motoo wenyewee ndo balaa...
 
Ingawa ulifeli ila wacha nikupe like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…