Ha ha ha ha hii ndio ilikua raha ya Government school lazma kwanza mlianzishe then Mengne yafateNilifika Jumamosi jioni nikakuta ni siku ya wali maharage so nikala coz angalau masosi ulikuwa mzuri, kesho yake asubuhi nikapewa uji kwenye kikombe lakini nikashindwa kunywa nikamwaga.
Nilipotoka home nilipewa nyama za kukaanga ndio zinanipa kiburi, zilipoisha ikabidi nianze tu kula maharage sema shule haikuwa na uzio na wali nyama centre walikuwa wanauza buku tu so nikawa natoroka naenda centre kula jamaa wakanibadilisha jina wakaanza kuniita Bourgeoisie (Bujwazii).
Niliwahi kupewa adhabu ya kuchimba visiki kwa kumuita Head Boy Kibaraka wa Walimu.
Nilienda shule na simu na DVD Player zile portable basi raia wengi wakawa rafiki zangu.
Kuna siku jamaa kakuta nanyoosha nguo Jumapili akashangaa hii ndio Pasi ya Umeme? Nikamjibu ndio basi akaomba aishike ajaribu kunyoosha.
Nakumbuka pia siku moja tunacheza inter class madogo wa O Level wakampiga jamaa wa Form Five, usiku tukakaa kikao kwamba haiwezekani waaibishe mwenzetu basi tukapanga mipango ya kupiga O Level kesho yake, tumeamka asubuhi tukakuta Polisi wanafanya kwata nje ya bweni letu hadi tunaenda assemble Polisi wapo tu, tukawaambia sisi hatufanyi fujo tumewachia walimu. Polisi wakaondoka ( Ni mwendo wa dakika 2 tu kati ya Polisi Post na Shule). Kile kitendo cha kuondoka Polisi tukaanzisha timbwili tukachapa O level wote coz maraia tulikuwa tumeficha fimbo kuanzia kiunoni kwenda miguu na wenye mikanda walitumia mikanda. Tulichapa hadi Mwalimu wa Michezo, Second Master akakimbilia kwake. Mara Polisi haoooo na Defender lao piga sana mabomu lakini tulikuwa tushafahamishana kila mtu awe na chupa ya maji.
Sasa kituko kikatokea kwenye kukimbia aise, nilikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo mwanzo tunakimbia kwenye matuta, dah nikapoteza steps kwenye kuruka matuta nikaanguka basi raia wote wa nyuma wakanikanyaga nikajikuta sina nguvu na Polisi wanakuja, pona pona yangu ikawa ni shimo la mchanga nililoliona mita chache kutoka nilipoanguka nikaingia humo na kukaa hadi mchana kila nikatoka kwenda kutafuta wenzangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Tumerudi shule jioni tunakuta waliokamatwa wamekula vitasa balaa. Baada ya timbwili hilo angalau tulianza kuheshimia na O level.
Hwhhwh kwa ushujaaa huuu i hope umejiunga a lile jesh lililopewa kaz ya kupasua korosho
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Pole mpka kesho leo nmeshazidsha kikomo cha siku cha kutuma pesa
Apambane na hali yake mdogo mdogo tu ataelewaEmbu msaidie dada yetu ndugu yangu
Nilifika Jumamosi jioni nikakuta ni siku ya wali maharage so nikala coz angalau masosi ulikuwa mzuri, kesho yake asubuhi nikapewa uji kwenye kikombe lakini nikashindwa kunywa nikamwaga.
Nilipotoka home nilipewa nyama za kukaanga ndio zinanipa kiburi, zilipoisha ikabidi nianze tu kula maharage sema shule haikuwa na uzio na wali nyama centre walikuwa wanauza buku tu so nikawa natoroka naenda centre kula jamaa wakanibadilisha jina wakaanza kuniita Bourgeoisie (Bujwazii).
Niliwahi kupewa adhabu ya kuchimba visiki kwa kumuita Head Boy Kibaraka wa Walimu.
Nilienda shule na simu na DVD Player zile portable basi raia wengi wakawa rafiki zangu.
Kuna siku jamaa kakuta nanyoosha nguo Jumapili akashangaa hii ndio Pasi ya Umeme? Nikamjibu ndio basi akaomba aishike ajaribu kunyoosha.
Nakumbuka pia siku moja tunacheza inter class madogo wa O Level wakampiga jamaa wa Form Five, usiku tukakaa kikao kwamba haiwezekani waaibishe mwenzetu basi tukapanga mipango ya kupiga O Level kesho yake, tumeamka asubuhi tukakuta Polisi wanafanya kwata nje ya bweni letu hadi tunaenda assemble Polisi wapo tu, tukawaambia sisi hatufanyi fujo tumewachia walimu. Polisi wakaondoka ( Ni mwendo wa dakika 2 tu kati ya Polisi Post na Shule). Kile kitendo cha kuondoka Polisi tukaanzisha timbwili tukachapa O level wote coz maraia tulikuwa tumeficha fimbo kuanzia kiunoni kwenda miguu na wenye mikanda walitumia mikanda. Tulichapa hadi Mwalimu wa Michezo, Second Master akakimbilia kwake. Mara Polisi haoooo na Defender lao piga sana mabomu lakini tulikuwa tushafahamishana kila mtu awe na chupa ya maji.
Sasa kituko kikatokea kwenye kukimbia aise, nilikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo mwanzo tunakimbia kwenye matuta, dah nikapoteza steps kwenye kuruka matuta nikaanguka basi raia wote wa nyuma wakanikanyaga nikajikuta sina nguvu na Polisi wanakuja, pona pona yangu ikawa ni shimo la mchanga nililoliona mita chache kutoka nilipoanguka nikaingia humo na kukaa hadi mchana kila nikatoka kwenda kutafuta wenzangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Tumerudi shule jioni tunakuta waliokamatwa wamekula vitasa balaa. Baada ya timbwili hilo angalau tulianza kuheshimia na O level.
Ndio.Kwaan mara ya kwanza hii kuosha vyombo?
Ha ha ha ha hii ndio ilikua raha ya Government school lazma kwanza mlianzishe then Mengne yafate
Hahahahaaaa uko mzima lakini
Yeap niko poa sijui wewe
Haha shemeji ulikuwa wa kishua hatari
Mimi wa afya
Kheri, nakuona lini?
Jose huyo,almaliza shule flani ya pwani baadae.Hapana Magu ana mtoto wa kiume nimemsahau jina tu ila tulipangwa nae shule moja na tukaripoti siku moja
Unaijua shule aliyochaguliwa form five?Jose huyo,almaliza shule flani ya pwani baadae.
Aliyochaguliwa nshasahau mkuu,kutokana na safar za hapa na pale nna mda sijamuona.Unaijua shule aliyochaguliwa form five?
Hiyo ndio shule niliyosoma 5 na 6
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Ali chezea za chembeOk hiki ninachoandika ni off topic.
Kuna jamaa aliripoti shule, bishoo si mchezo. Kuna jamaa akawa anamuonea onea tu akimkuta anakula anachukua chakula, anachukua madaftari yake. Halafu anamwambia kama unaweza si upigane? Ishu ilienda kama mwezi.
Maji yakikata kuna kama kijito cha maji ndiyo hua tunayafuata, basi yule bishoo akavaa traki raba na fulana akamkuta mshkaji yupo na sisi akamwambia twende mtoni. Jamaa akajibu kwa dharau "Unataka nikakuf.ire?" mshkaji akajibu hapana nataka tukapigane, Ila tuwe wawili tu atakayerudi shule hapa ndiyo mshindi, jamaa akakubali wakaenda.
Dakika 10 nyingi tunamuona bishoo anarudi. Akatuambia kamchukueni jamaa, tumefika kule yule jamaa kila unapomgusa analia akafuatwa na gari la shule gari lenyewe wipers hazifanyi kazi na ukungu umeshakuja ikabidi mmoja akae kwenye boneti awe anafuta futa na mwendo uwe wa kobe.
Baada ya kupona akatuambia "Yaani sijaambulia hata ngumi moja, huyo jamaa hafai" kumbe yule bishoo ni mshindi wa Judo ngazi ya mkoa huko mkoani kwao. Halafu ikatokea wakawa marafiki vibaya mno.
sio kila mtu ni masikini kama wewe mbwa weMimi nimesoma bagamoyo secondary, shule pekee ukiwa ufukwen au baharin unaogelea unakua bado upo eneo la shule, kama advance hukusoma serikalin bas ww ni kilaza