Wee sie wabongo siasa ata kwenye kitu kipo so obviouswatanzania mnatakiwa kuokoka. ukweli ni kwamba, kati ya wadada walikuwa wanakwaza hata kutazama kwa sababu ya tabia mbaya, ni huyo mdada. alikuwa mfano mbaya kwa watoto wa kike, laiti kama angeokoka kabla kifo hakijamkuta, kwa sababu Mungu bado alikuwa anampenda.
Usihukumu si kazi yakowatanzania mnatakiwa kuokoka. ukweli ni kwamba, kati ya wadada walikuwa wanakwaza hata kutazama kwa sababu ya tabia mbaya, ni huyo mdada. alikuwa mfano mbaya kwa watoto wa kike, laiti kama angeokoka kabla kifo hakijamkuta, kwa sababu Mungu bado alikuwa anampenda.
haina haja yanpicha mkuu.Aisee ebu wekeni picha ya huyo sinta wa enzi hizo tuone alikuwa mzuri kiaje sio mnatupiga mafix tuu hapa
Siku hizi tako kwanza, sura utapigwa doggy style
Kwa nini ashindwe mmiliki Sinta ni wakaida tu anafanya kazi hospital ya wahindi askutishe hana life hiyooo
Kuna walokole wangapi ni wahuni kuliko hao uliowataja?binafsi sio kwamba nahukumu, ila kuna watu ningepata nafasi kuonana nao au kama wapo humu, huwa nawaambia hata mabinti zangu kwamba hao ni mfano mbaya kabisa wa kuigwa. SEPENGA, mobeto, zari, antiezekieli, uwoya na bongo movie yote, hawa, wanamhitaji Mungu, waokoke waokoke, andaeni maisha yenu ya baadaye, where will you spend your eternity ndio iwe kitu cha kufikiri, maisha ya dunia hii yanapita, ila kule unakoenda ni kwa milele, aidha milele motoni au milele uzimani. uchaguzi ni wako.
kuna kuhukumu na kuonya, kama kuongea namna hii hata Yesu alisema tuwaonye. iwapo umemwona mtu mwovu usimwambie kuhusu uovu wake, ataangamia ila damu yake itadaiwa mikononi mwako. na shetani anapenda sana kutoa mstari wa usihukumu ili watu wasionywe. hiyo kauli ya usihukumu ina vigezo na masharti. Okoka, ama la moto unakusubiri. utaungua hadi useme sasa basi.Usihukumu si kazi yako
Unamuonya marehemu?kuna kuhukumu na kuonya, kama kuongea namna hii hata Yesu alisema tuwaonye. iwapo umemwona mtu mwovu usimwambie kuhusu uovu wake, ataangamia ila damu yake itadaiwa mikononi mwako. na shetani anapenda sana kutoa mstari wa usihukumu ili watu wasionywe. hiyo kauli ya usihukumu ina vigezo na masharti. Okoka, ama la moto unakusubiri. utaungua hadi useme sasa basi.
Sawa nitamuuliza.Muulize baba yako akupe historia ya hao warembo wa zamani wewe hauwezi kuwajua,hao walikuwa WAMOTO sana ,NORA ,SINTA ,MONALISA,NINA na DOKII ,hizo pisiii zilikuwa hatare sana......Kuna Mtangazaji wa DW Bikoo alikunywa Sumu ili ajiue kwa kukataliwa na NORA Ngwizukulu Jilala Herbalist Hospital....inawezekana ulikuwa haujazaliwa enzi za hao madada wakati wanatamba.
hao niliowataja, hao walokole wahuni unaowasema pamoja na wewe mwenyewe nakuona. okoka, ama la moto unakusubiri.Kuna walokole wangapi ni wahuni kuliko hao uliowataja?
Au kwa kuwa dhambi zao wanazificha, na za hao ziko public?
Biko alikua boya sana, sasa angekua kafa, BBC angeionea wapi?Muulize baba yako akupe historia ya hao warembo wa zamani wewe hauwezi kuwajua,hao walikuwa WAMOTO sana ,NORA ,SINTA ,MONALISA,NINA na DOKII ,hizo pisiii zilikuwa hatare sana......Kuna Mtangazaji wa DW Bikoo alikunywa Sumu ili ajiue kwa kukataliwa na NORA Ngwizukulu Jilala Herbalist Hospital....inawezekana ulikuwa haujazaliwa enzi za hao madada wakati wanatamba.
Enzi hizo Instagram ilikua magazeti ya shigongo.Muulize baba yako akupe historia ya hao warembo wa zamani wewe hauwezi kuwajua,hao walikuwa WAMOTO sana ,NORA ,SINTA ,MONALISA,NINA na DOKII ,hizo pisiii zilikuwa hatare sana......Kuna Mtangazaji wa DW Bikoo alikunywa Sumu ili ajiue kwa kukataliwa na NORA Ngwizukulu Jilala Herbalist Hospital....inawezekana ulikuwa haujazaliwa enzi za hao madada wakati wanatamba.
Kweli Shigongo ,KIU na IJUMAA ameuza sana.Enzi hizo Instagram ilikua magazeti ya shigongo.
Shigongo kawapaisha sana hawa mademu.
Uongee naee,muelewanee kisha mukajichanee 😁😁😁Aliyeenda kugonga mlango alikuwa ni Swebe Santana Montana Nunda.
Walikuwa kama wanne hivi kwenye gari aina ya Chaser.
"Nature, Nature kuna mtu anakuhitaji hebu toka umuone."
Dunderheadhao niliowataja, hao walokole wahuni unaowasema pamoja na wewe mwenyewe nakuona. okoka, ama la moto unakusubiri.
Jf mmeanzaShusho?
Ngoja tuusikile huwa naupenda sanakomenti zote hizo na wimbo wenyewe hamjauweka!
View attachment 3117835
Saifee hospital😂
Sema watu wa zamani walikua hawajali kabisa kuhusu tako. Sinta hana tako kabisa Ila aliisimamisha nchi. Nchi nzima mzuri anaonekana yeye😂😂
Siku hizi bila kuwa na mzigo kama wa poshy queen Hakuna mtu atakuzingatia
Zamani ukiwa na karangi ka mtume,mwanya au dimple wewe ni balaa...ila mabazazi wa siku hi-i mmmmmhSaifee hospital😂
Sema watu wa zamani walikua hawajali kabisa kuhusu tako. Sinta hana tako kabisa Ila aliisimamisha nchi. Nchi nzima mzuri anaonekana yeye😂😂
Siku hizi bila kuwa na mzigo kama wa poshy queen Hakuna mtu atakuzingatia
Jina lako nilikuwa nadhani ni mkubwa kumbe hata huu Wimbo huujui?Ngoja tuusikile huwa naupenda sana