Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Utaendelea kujinyima Sana, Hilo Dudu ukifanya Masihara na mafundi na service Za hovyo linakufanya maskini!
Haya mawazo uchwara, umaskini na ya kijiweni ndio siyapendagi.
Uliwahi kulimiliki?
Unajua mishe zake?
Tuache kutishana...acheni watu waishi ndoto zao hata kwa mwezi inatosha historia imeandikwa.
(Msitumie nguvu nyingi huyu jamaa ni kiduku type, hii gari ilinunuliwa na Mmalawi toka beforward)
 
Haya mawazo uchwara ndio siyapendagi.
Uliwahi kulimiliki?
Unajua mishe zake?
Tuache kutishana...acheni watu waishi ndoti zao hata kwa mwezi inatosha historia imeandikwa.

Ha ha ha! Haya Bwana! Ni sawa, Hakuna mtu kakatisha ndoto ya mtu! Naweza nisiwe na Range Rover, Ila nikawa na ya thaman zaidi!

Magari Ni zaidi ya unavyofikiri! Ninayajua Sana! Kwa hiyo Najua machoongea! Hilo gari laitaji uwe Na gari zaidi ya Moja na uwe na hela sio Za ku save miaka 10!

Hilo gari Laweza likakorofisha Umeme lisiwake, ikabidi lifuatwe na winch, sio gari ya mchezo! Sio kwamba twamkatisha tamaa, twamweleza tu ukweli.

Ukiona mtu Ka save miaka 10 kununua gari, especially hili Ambali si ghali kivile; ujue ate save miezi 6 ku service, Na asipopata Fundi mzuri litavurugwa.
 
I have to be honest brother with no sugar coating,kama hii ndio SUV umeamua kuwa nayo umejitafutia matatizo ya moyo na matumizi ya zaidi, utalipaki miaka mingine 11 ili uje litengeneza tena kwa kifupi utalipaka na likishalala ndio imeisha hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…