Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu 2021, Inshallah nimefanikiwa kumilik SUV kwa mara ya kwanza. Nimejinyima for 11 good years kufanikisha hili.
View attachment 2088573
View attachment 2088577
View attachment 2088579
NB: Vijana jifunzeni uvumilivu katika kutafuta
Range Rover bila kuwa na gari nyingine back up Ni maumivu
[emoji3]Amesave 11 years! Ila anaweza flush that amount in 2 months!
Hahahaha. Jamaa atadai tuna wivu na Range rover lakeAmesave 11 years! Ila anaweza flush that amount in 2 months!
Hahahaha. Jamaa atadai tuna wivu na Range rover lake
Haya mawazo uchwara, umaskini na ya kijiweni ndio siyapendagi.Utaendelea kujinyima Sana, Hilo Dudu ukifanya Masihara na mafundi na service Za hovyo linakufanya maskini!
Me bado nipo Boxer BM 150Wakuu 2021, Inshallah nimefanikiwa kumilik SUV kwa mara ya kwanza. Nimejinyima for 11 good years kufanikisha hili.
View attachment 2088573
View attachment 2088577
View attachment 2088579
NB: Vijana jifunzeni uvumilivu katika kutafuta
WivuuWatu twaongeaga kimasihara Ila ndo tupo Na seriousness
Haya mawazo uchwara ndio siyapendagi.
Uliwahi kulimiliki?
Unajua mishe zake?
Tuache kutishana...acheni watu waishi ndoti zao hata kwa mwezi inatosha historia imeandikwa.
Wivuu
Mpaka Bongo ilikugharimu kiasi gani?Wakuu 2021, Inshallah nimefanikiwa kumilik SUV kwa mara ya kwanza. Nimejinyima for 11 good years kufanikisha hili.
View attachment 2088573
View attachment 2088577
View attachment 2088579
NB: Vijana jifunzeni uvumilivu katika kutafuta
Mpe ukweliSijui nku pongeze sijui niku shauri anyway kama your dream ilikua ni range sio mbaya