franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,406
- 1,475
Love this RRNice to hear
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Love this RRNice to hear
Range rover inataka uwe na mbadalaLove this RR
Picha za za gari liliowekwa mtandaoni na Be foward ndio limekuwa gari lako.Wakuu 2021, Inshallah nimefanikiwa kumilik hii SUV. Nimejinyima for 11 good years kufanikisha hili.
View attachment 2088573
View attachment 2088577
View attachment 2088579
NB: Vijana jifunzeni uvumilivu katika kutafuta
Hahaha..mkuu una kitu ya £50k unajibizana na vijana wa income ya £200 kwa mwezi? Mtalaumiana tuu…..Nashukuru kwa hilo
Hao mbona tunao wengi tu, ni kawaida sana
Kuna post ya magari miaka ya nyuma nikaandika tu nilikuwa namiliki Skyline GT back in 80’s mmoja akaandika utakuta hata baiskeli hauna [emoji23][emoji23]
Ila nimezoea
Hahaha..mkuu una kitu ya £50k unajibizana na vijana wa income ya £200 kwa mwezi? Mtalaumiana tuu…..
kila mtu apambane na Hali yake…
Ukiwa na SUV kicheche hachomoiSUV heshima
Kabisa kabisa...hazitaki kuungaunga kama ToytaGari za Ulaya na US hazitak janja janja
Toyota yebo yeboKabisa kabisa...hazitaki kuungaunga kama Toyta
Nakubali [emoji817]Toyota yebo yebo
Hakuna demu atachomoa Mbele ya Mnyama RangeChombo ya kung'oa mademu wa Chuo