Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Nashukuru kwa hilo
Hao mbona tunao wengi tu, ni kawaida sana

Kuna post ya magari miaka ya nyuma nikaandika tu nilikuwa namiliki Skyline GT back in 80’s mmoja akaandika utakuta hata baiskeli hauna [emoji23][emoji23]

Ila nimezoea
Hahaha..mkuu una kitu ya £50k unajibizana na vijana wa income ya £200 kwa mwezi? Mtalaumiana tuu…..

kila mtu apambane na Hali yake…
 
Mkuu wanakuonea wivu tu nilipokuwa chuo kuna mwanafunzi wa makamu Alikuwa nalo Hilo gari na gari Yake nihiyo tu sikuwahi kumuona akibadili mpaka namaliza chuo 2016 toka 2013 wala ilikuwa halisumbui juzi Kati nimeonana nae around 2022 March 4 hivi Bado analo TENA mbichi kabisa kwaharaka ni miaka 10 hiyo TENA Huko nyuma before 2013 usikute Alikuwa nalo Ila mm nilimjulia chuoni.

Usiwazikilize mkuu kikubwa ni service tuu na nidhamu litakustiri miaka nenda Rudi.
 
Kumiliki Gari ya Mzungu si Jambo rahis.
 
Wabongo kukariri kwingi tatizo, Range Rover gari ya kawaida sana sema imekuwa overated tu, na shida ilianzia kwa wamiliki wake wa mwanzo, na watengenezaji pia. Uingereza ni nchi inayopenda sifa na tambo sana, hili limeendelea mpaka kwenye bidhaa zao. Leo ukiwa na audi RS Q8 ambayo bei yake ni milioni 100 zaidi ya bei ya range, audi ambayo brake pads zake tu ni unanunua Subaru forester,bado watu wataona mwenye range ndio ana gari ya pesa nyingi, kwa sababu tu ya mindset na kukariri.
 
Back
Top Bottom